Nakereka sana kwa hili jambo

Nakereka sana kwa hili jambo

Yaani ile unahustle kiume, mchana kutwa jasho linakutiririka, mwanaume wa shoka unapambana na kazi ngumu ambayo inaweza hata kukuibulia vichomi vya mbavu, mgongo hata kiuno.

Yote hayo unajikaza maana kuna watu nyuma wanakutegemea.

Inafika mda wa kusign out, unaiendea simu yako kwa pupa huku ukijiambia nitakuta missed calls lundo na sms ya kumwaga kutoka kwa wife, Dah! unakuta cm inakuita tu wala hakuna cha sms wala chochote kutoka kwa wife ambae unapambana kwa ajili yake, unaishiwa nguvu na unaona umefanya kazi bure.

unamtumia sms eti na mimi najihesabia nina mke, dah!
Ndoa sitaki tena, utapeli huu.
Ndoa hiyo umelazimishwa au umeingia wewe mwenyewe kwa hiari yako??
 
Mjomba, kama ni hivo kwanin upare mastress?
Kazi si umesema unafanya wewe? Ukitoka kwenye vichomi, pita kwa Ashura mwenye grocery, pata zako bia 3 baridi, potion ya mbuzi na kaugali ka ngumi, rudi nyumba ni toothpick mdomoni na ka mluzi ka kuzugia.
Haya maisha yapo tu, dont die trying to please others
Mwanaume umepewa akili, busara, na hekima ya jinsi ya kukaa na mwanamke! Unalialia nini! Hustle pambana mpaka utoke jasho la damu mwisho wa siku upeleke kwa mke wako ndo heshima yako! Sasa jifanye upeleki na uzingatie ushauri wa wapumbavu uone hata kama kesho utaamka na nguvu za kupambana!

Hiko hivi: kwenye masumbwi anayepigana ni mwanaume! Anadundwa na kung'olewa meno na akisha tangazwa mshindi na kupewa mkanda, anachukua ule mkanda wa ushindi na kumkabidhi mke wake anaubeba na akiweza anauvaa wakati hajapigana! Akili kumkichwa kalaghabhao!
 
Manyege yako tu na ubahili wa kutaka utelezi kila siku free of charge
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] maninaaa Bado ajasemaa yaan huyu mpk asemeee..

KATAA NDOAA
 
Hili suala la kusema unafanya kazi kwa ajili yake ndo sijaelewa we huna plans zako ina maana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] anafanya kazi amtimizie mkewe malengo
 
Mwanaume umepewa akili, busara, na hekima ya jinsi ya kukaa na mwanamke! Unalialia nini! Hustle pambana mpaka utoke jasho la damu mwisho wa siku upeleke kwa mke wako ndo heshima yako! Sasa jifanye upeleki na uzingatie ushauri wa wapumbavu uone hata kama kesho utaamka na nguvu za kupambana!

Hiki hivi: kwenye masumbwi anayepigana ni mwanaume! Anadundwa na kung'olewa meno na akisha tangazwa mshindi na kupewa mkanda, anachukua ule mkanda wa ushindi na kumkabudhi mke wake anaubeba na akiweza anauvaa wakati hajapigana! Akili kumkichwa kalaghabhao!
Hakika umesema kweli mkuu, ika wapumbavu wanavyonishambulia mpaka natamani kujificha.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] anafanya kazi amtimizie mkewe malengo
Yaani mm nashika hela naweka fungu langu kwanza pembeni la kula maisha, tena inaweza kuzidi hela ya kula ya familia nzima, yaani mi ndo nitafute kisha niunge unge no way
 
Mwanaume umepewa akili, busara, na hekima ya jinsi ya kukaa na mwanamke! Unalialia nini! Hustle pambana mpaka utoke jasho la damu mwisho wa siku upeleke kwa mke wako ndo heshima yako! Sasa jifanye upeleki na uzingatie ushauri wa wapumbavu uone hata kama kesho utaamka na nguvu za kupambana!

Hiki hivi: kwenye masumbwi anayepigana ni mwanaume! Anadundwa na kung'olewa meno na akisha tangazwa mshindi na kupewa mkanda, anachukua ule mkanda wa ushindi na kumkabudhi mke wake anaubeba na akiweza anauvaa wakati hajapigana! Akili kumkichwa kalaghabhao!
Dah! kumbe huu ushauri umetolewa na jinsia tofauti na yangu? dah!
KATAA NDOA
 
Yaani mm nashika hela naweka fungu langu kwanza pembeni la kula maisha, tena inaweza kuzidi hela ya kula ya familia nzima, yaani mi ndo nitafute kisha niunge unge no way
Mkuuu wengineee wanajidai wanajali familiaa Kwanzaa kuliko wao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuuu wengineee wanajidai wanajali familiaa Kwanzaa kuliko wao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kiukweli najali kwanza hasa wanangu, ila sasa nakereka mahitaji yote yanapitia kwa mama yao! ujinga huu.
 
Afadhali hata wewe hukuti hata missed call Wala sms na ulipiga anapokea, wengine hata tukipiga hawapokei kabisa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom