Nakereka sana kwa hili jambo

Nakereka sana kwa hili jambo

Afadhali hata wewe hukuti hata missed call Wala sms na ulipiga anapokea, wengine hata tukipiga hawapokei kabisa
Wengine wanahamasishana kwenye magroup yao eti wasitutafte kwani huko ni kujipendekeza! yani nakereka nikiona jinsia KE.
 
Yaani ile unahustle kiume, mchana kutwa jasho linakutiririka, mwanaume wa shoka unapambana na kazi ngumu ambayo inaweza hata kukuibulia vichomi vya mbavu, mgongo hata kiuno.

Yote hayo unajikaza maana kuna watu nyuma wanakutegemea.

Inafika mda wa kusign out, unaiendea simu yako kwa pupa huku ukijiambia nitakuta missed calls lundo na sms ya kumwaga kutoka kwa wife, Dah! unakuta cm inakuita tu wala hakuna cha sms wala chochote kutoka kwa wife ambae unapambana kwa ajili yake, unaishiwa nguvu na unaona umefanya kazi bure.

unamtumia sms eti na mimi najihesabia nina mke, dah!
Ndoa sitaki tena, utapeli huu.
Salio ume muwekea.?
 
Wanaume hatufanyi tukitegemea pongezi wala kukumbukwa,tunafanya kwasababu ni WAJIBU.

kama kutimiza wajibu kwako ni mzigo,ruksa kuleft group ...
 
Kwamba usingekuwa na mke usingekuwa unafanya kazi? Mkeo ni mtoto hadi ufanye kazi kwaajili yake?

Ya’ll grow up!
Kuna wakati unaona kabisa sababu za msingi za malalamiko hata hakuna..
Ukae na mkeo miaka 15, eti Leo mshazaa watoto wa kutosha na mnakaribia kwenda akhera madukani ndiyo mnaanza eti 'kataa ndoa'..

baadhi ya wanaume wetu wengi siku hizi naona wamezidi malalamiko mno jamani, when will you man up..???
 
Sawa, natakiwa kufanya kazi, lakini simu yake tu, ama sms ya kunijilia hali na kunitakia kazi njema ingeniongezea morali nakunifanya niwahi nyumbani, ila sasa ndo hvyo tena.
Anza wewe kuwa unamjulia hali na yeye atajifunza. Hata yeye anatamani mtu wa kumjali lkn unajifanya upo busy
 
Mjomba, kama ni hivo kwanin upare mastress?
Kazi si umesema unafanya wewe? Ukitoka kwenye vichomi, pita kwa Ashura mwenye grocery, pata zako bia 3 baridi, potion ya mbuzi na kaugali ka ngumi, rudi nyumba ni toothpick mdomoni na ka mluzi ka kuzugia.
Haya maisha yapo tu, dont die trying to please others
Sure tangu nime gundua hilo nimeanza kuwa na amani na furaha anagalau.
 
Sio kujifanya bwana.
Hakuna caring ya upande mmoja hata siku moja.
Wewe anza ili uonyeshe mfano..kama hatabadilika ndo ulalamike.
Sio kwamba labda yeye yupo nyumbani tu ndo unaona hakiwi kujuliwa hali.
 
Yaani ile unahustle kiume, mchana kutwa jasho linakutiririka, mwanaume wa shoka unapambana na kazi ngumu ambayo inaweza hata kukuibulia vichomi vya mbavu, mgongo hata kiuno.

Yote hayo unajikaza maana kuna watu nyuma wanakutegemea.

Inafika mda wa kusign out, unaiendea simu yako kwa pupa huku ukijiambia nitakuta missed calls lundo na sms ya kumwaga kutoka kwa wife, Dah! unakuta cm inakuita tu wala hakuna cha sms wala chochote kutoka kwa wife ambae unapambana kwa ajili yake, unaishiwa nguvu na unaona umefanya kazi bure.

unamtumia sms eti na mimi najihesabia nina mke, dah!
Ndoa sitaki tena, utapeli huu.
Itabidi tubadirishane mkuu..
Mwenzake hapa anapiga simu hadi kero...unaeza kuta msd call 10 ..
Utafikiri kunaimergence
 
Hivi kuna watu bado wanaoa tu karne hii! Jinga sana.
 
Yaani ile unahustle kiume, mchana kutwa jasho linakutiririka, mwanaume wa shoka unapambana na kazi ngumu ambayo inaweza hata kukuibulia vichomi vya mbavu, mgongo hata kiuno.

Yote hayo unajikaza maana kuna watu nyuma wanakutegemea.

Inafika mda wa kusign out, unaiendea simu yako kwa pupa huku ukijiambia nitakuta missed calls lundo na sms ya kumwaga kutoka kwa wife, Dah! unakuta cm inakuita tu wala hakuna cha sms wala chochote kutoka kwa wife ambae unapambana kwa ajili yake, unaishiwa nguvu na unaona umefanya kazi bure.

unamtumia sms eti na mimi najihesabia nina mke, dah!
Ndoa sitaki tena, utapeli huu.
😂😂😂Pole mkuu
 
Pyhschologys says reduce expectations for your mental health!
 
uko bitter sana kiongozi.

mimi nina shemeji zangu nawafaham,sio watu wa simu simu kabisa,hata washkaji huwa wanawalaumu anaweza acha simu ndani akaenda kupiga story mtaa wa tatu huko,ukapiga simu ikaita weeeeeee.fikiria mtu wa aina hii kama atakumbuka kukutumia sms.
ukiikagua simu unakuta ilichezewa na watoto tu.

kuna wenzako baada ya kazi nzito wanakutana na sms kama,nina shida na elfu 20 ya mchezo,toka subuhi kata hujanipigia,najua uko na malaya zako,ukirudi uniambie amina ndio nani.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Sawa, natakiwa kufanya kazi, lakini simu yake tu, ama sms ya kunijilia hali na kunitakia kazi njema ingeniongezea morali nakunifanya niwahi nyumbani, ila sasa ndo hvyo tena.
Ukitoka kazini pitia bar piga supu Yako heavy na soda/bia ya baridi nunua vizaga peleke home relax kama umezaa nae pambana for your kids

Hawa anytime wanabadilika

#Watotowangufurahayangu
 
Back
Top Bottom