Damu nzito kuliko maji! Na aliekupa wewe kiti ndo kamnyima nduguyo kiti na kumgea kumbi! Kutoa ni moyo wala si utajiri! Na mtu atoae huongezewa!
Hiyo mizinga kwani sh ngapi mpaka uvunje udugu yakheeeeeeee!!!!!!!! Pesa ngapi wazitapanya kwa lesswigs, mascara, viatu, maguo mipochi na ilhali si vitu vya kudumu watumia na kutupa ?????????
Huyo nduguyo hivo alivo anakeraa tena anakera haswaaaaaa ila bado ni kiumbe cha mola! Na yakupasa umpe zaidi kwa kumshukuru mola kuwa weye hukuwa kama huyo nduguyoooo!!!!!!
Itakufaa nini hata uwe na milki ya dunia nzima, majimali majimali ilhali wajua fika nduguyo analala na njaaa, au yupo polisi rumande na uwezo wa kumsaidia unao ila amekuchosha?
Kuna watu hawana ndugu kabisaaaaaaaaaa! Wakifa wazikwa na manispaaa bila ibada yoyote. Waomba mola hata wangempata ndugu kama huyo wako ila hakuwajaalia tena!
CHARITY BEGINS AT HOME!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mi nikiona mtu anataka avunje udugu kwa pesa ya mboga roho yaniuma sanaaaaa!

@MadameX pole sana,
Japo najua context zinaweza kuwa tofauti, I faced challenge similar to yours kutoka kwa uncle (mdogo wa mama yangu) ambaye naye ni something like 46 now lakini yuko hopeless sana. Ilikuwa kila nikiona simu yake au sms yake basi ujue ina mzinga juu yake
Wakati fulani akatoka kwa ndugu alipokuwa anakaa mwanzoni akaja kuishi nami na nilimvumilia kwa muda wa kama 5 to 6 months tukiwa tunasukumana kwani hata tabia zake was challenging
Good luck kijijini kuna mashamba na niliamua siku hiyo kumlia jiwe ngumu na nilipotoka kazini nilimwita nikamweka kikao nikamwambia sasa uncle inatosha na naomba sasa uone aibu hii haikubaliki. Nikamweka wazi (sijui kama niikuwa mkali sana but I think it was best option) kuwa nampa wiki moja tu kwangu aondoke na aende kijijini na msaada pekee nitakaompa ni gharama kidogo za kwenda kununulia pembejeo ili akaanze kilimo na mimi na yeye basi tena na kwa kweli sikuwa na huruma maana alipofika huko hakuweza kutulia kwenye kilimo na amekuwa mtu wa kuzurura na mii nimeamua kumpotezea, hata aombeje nimeamua siwezi kufuga ujinga kama ule
Nimemsaidia ajue kuwa na mimi nina malengo yangu ya maisha na nisingependa anilemee na kushindwa kujipanga kwa familia yangu binafsi
Mweke wazi na huo msimamo wako na sababu zako, ajue kabisa
Damu nzito kuliko maji! Na aliekupa wewe kiti ndo kamnyima nduguyo kiti na kumgea kumbi! Kutoa ni moyo wala si utajiri! Na mtu atoae huongezewa!
Hiyo mizinga kwani sh ngapi mpaka uvunje udugu yakheeeeeeee!!!!!!!! Pesa ngapi wazitapanya kwa lesswigs, mascara, viatu, maguo mipochi na ilhali si vitu vya kudumu watumia na kutupa ?????????
Huyo nduguyo hivo alivo anakeraa tena anakera haswaaaaaa ila bado ni kiumbe cha mola! Na yakupasa umpe zaidi kwa kumshukuru mola kuwa weye hukuwa kama huyo nduguyoooo!!!!!!
Itakufaa nini hata uwe na milki ya dunia nzima, majimali majimali ilhali wajua fika nduguyo analala na njaaa, au yupo polisi rumande na uwezo wa kumsaidia unao ila amekuchosha?
Kuna watu hawana ndugu kabisaaaaaaaaaa! Wakifa wazikwa na manispaaa bila ibada yoyote. Waomba mola hata wangempata ndugu kama huyo wako ila hakuwajaalia tena!
CHARITY BEGINS AT HOME!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mi nikiona mtu anataka avunje udugu kwa pesa ya mboga roho yaniuma sanaaaaa!
@Lara 1 unachoongea ni sahihi kabisa dada yangu,
Personally ni mtu ninaependa kusaidia kila ambae nitaona yuko katika uhitaji na mimi niko kwenye position ya kuweza kufanya hivyo...
Lakini je, unaweza kukubaliana na mimi kwamba kuna watu wengine wanajidekeza and they have decided to be beggars?
Yaani kwa mfano case yako hapo juu mpaka mtu nachukua hatua ya kumfanyia mpango apate pembejeo zote muhimu na kwa kuwa nguvu ipo na kilimo alishakifanya muda mrefu lakini matokeo yake vile vifaa vyote kaenda kuviweka tu huko anakazi ya kuzurura from one place to another na kuomba tu watu pesa bila kujishughulisha .....and at the age of 46...??
Ujue "mtaka nyingi nasaba, hupata mingi misiba".Lakini pia,"tenda wema wende zako, usingoje shukurani" na ingawa "damu nzito kuliko maji" ukweli utabaki "chombo cha kuzama hakina usukani" ilhali "sikio la kufa halisikii dawa" na usishangae kabisa kupata "fadhila ya punda mateke". Ikiwa "jina jema hung'ara kizani" ujue pia "la kuvunda halina ubani".
Wasema "maji yakijaa hupwa" kama "mpanda ngazi hushuka" kwa vile "hakuna marefu yasiyo na tama"
"Mpanda farasi wawili hupasuka msamba" amua kama unataka kumsaidia umsaidie bila kero, na kama hutaki umuache bila kuona nuksani.

Mimi bwana nachoamini ni kuwa Aliekupa wewe upeo na akili nyingi za maisha na kutafuta pesa ndo kamnyima huyoo ndugu yako upeo mkubwa na kumpa ule alionao!
Na yule ni mtihani wako wa maisha! Mungu anakupima tu kwa yule kiumbe wake. Kakupa uwezo wa kumsaidia kwa makusudi kabisaa, na hakuna mzinga atakaokupiga uncle ulio nje ya uwezo wako! La hasha uwezo wa kumsaidia unao labda tu ni priority ndo inagomba!
Binadamu tujifunze kuishi na mitihani yetu, misalaba yetu tusichoke kuibeba asilani. Ukishajua flani ni msalaba wangu basi wajitahidi usikerekwe nae, na kumzoea kumsaidia na kumfanya part ya maisha yako. Kwani pesa ngapi twalewea bar na hazituumi? na zaidi tunaunguza maini tu?
Mimi nina ndugu zangu wasumbufu ila nimewazoea na namshukuru sanaaa Mola, tena sanaaa kwa kunipa msalaba mwepesi, kuna watu ndugu zao Vichaaa kabisa, wengine walemavu, wengine wagonjwa! Mungu tuipushie mbali ila kumkimbia ndugu yako anaejielewa, hakuaibishi, anaenda chooni mwenyewe anachokubebesha mzigo ni pesa ndogo ndogo tu?????????? Ni kumkufuru Mungu kulaumu kwa na ndugu kama huyo!
So find uncle, be nice to him, na umpe uwezacho Gog will bless your hustles kila anachopunguza uncle atakurudishia mara 10. Uncle ile ndo destiny yake alio andikiwa!
Damu nzito kuliko maji! Na aliekupa wewe kiti ndo kamnyima nduguyo kiti na kumgea kumbi! Kutoa ni moyo wala si utajiri! Na mtu atoae huongezewa!
Hiyo mizinga kwani sh ngapi mpaka uvunje udugu yakheeeeeeee!!!!!!!! Pesa ngapi wazitapanya kwa lesswigs, mascara, viatu, maguo mipochi na ilhali si vitu vya kudumu watumia na kutupa ?????????
Huyo nduguyo hivo alivo anakeraa tena anakera haswaaaaaa ila bado ni kiumbe cha mola! Na yakupasa umpe zaidi kwa kumshukuru mola kuwa weye hukuwa kama huyo nduguyoooo!!!!!!
Itakufaa nini hata uwe na milki ya dunia nzima, majimali majimali ilhali wajua fika nduguyo analala na njaaa, au yupo polisi rumande na uwezo wa kumsaidia unao ila amekuchosha?
Kuna watu hawana ndugu kabisaaaaaaaaaa! Wakifa wazikwa na manispaaa bila ibada yoyote. Waomba mola hata wangempata ndugu kama huyo wako ila hakuwajaalia tena!
CHARITY BEGINS AT HOME!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mi nikiona mtu anataka avunje udugu kwa pesa ya mboga roho yaniuma sanaaaaa!
Ushauri mzuri huu_though doesnt work in the real world.
santeee!Ujue "mtaka nyingi nasaba, hupata mingi misiba".Lakini pia,"tenda wema wende zako, usingoje shukurani" na ingawa "damu nzito kuliko maji" ukweli utabaki "chombo cha kuzama hakina usukani" ilhali "sikio la kufa halisikii dawa" na usishangae kabisa kupata "fadhila ya punda mateke". Ikiwa "jina jema hung'ara kizani" ujue pia "la kuvunda halina ubani".
Wasema "maji yakijaa hupwa" kama "mpanda ngazi hushuka" kwa vile "hakuna marefu yasiyo na tama"
"Mpanda farasi wawili hupasuka msamba" amua kama unataka kumsaidia umsaidie bila kero, na kama hutaki umuache bila kuona nuksani.
kuna mahali nilikuwa nakufyagilia haiba yako watu wala hawakunielewa!nazidi kuamini nilichokiamini the very day i set my eyes on lara 1Damu nzito kuliko maji! Na aliekupa wewe kiti ndo kamnyima nduguyo kiti na kumgea kumbi! Kutoa ni moyo wala si utajiri! Na mtu atoae huongezewa!