Dr @georgeousmimi naomba kujua dawa ya kutibu genital herpes
Inaponyesha kabisa au inatuliza maumivu tu?Unaweza tumia zovirax (acyclovir) plus dawa za kupunguza maumivu panadol or ibuprofen
Inaponyesha kabisa au inatuliza maumivu tu?
Shukrani mkuuInatibu kwa muda Herpes ni ngumu sana kutibika moja kwa moja
Ani utapona then baada ya muda immunity ikiwa shaked vinaweza tokea tena utatumia dawa vitapotea
Au kama vikiwa chronic saana dokta anaweza kukushauri utumie kwa muda mrefu hata baada ya kupotea
Duh kapime kisukari mkuuMe naweza kojoa kwa saa 1 Mara 8 au 10 tatizo nini?
Me naweza kojoa kwa saa 1 Mara 8 au 10 tatizo nini?
Hili gonno mkuu.Natokwa na ute mzito mweupe kwenye uume na napata maumivu wakati wa kukojoa.sijui tatizo ni nn? naombeni ushauri
Pole sana mkuu.jikubaliHabari mkuu naomba kuuliza, ninawezaje kuongeza urefu , ukubwa na uimara wa penis yangu hadi inchi 6.5 maana penis fupi inch 4.0, sipat raha kabisa ya tendo la ndoa, tafadhali naomba msaada wowote hata ushauri au solution ntashukur sana, wahusika weny elimu kuhus mambo ya uzazi nisaidien niko Hoi jamaniii
Katika hospitali kuna matibabu ya upungufu wa nguvu za kiume? Achilia mbali Hawa wa tiba mbadala na wale wanaoshauri mazoezi na lishe.
Nauliza hii field ktk hospital zetu ipo na inatibu wenye tatizo hilo?
Naomba kufahamishwa dawa nzuri nina maumivu makali ya kiuno.
mkuu nataka ya kumaliza kbx ikiwezekana, ttz ndio hilo yaan kiuno kinauma balaaa kMa uck wa Jana ckulala kbx, ttz Lina muda kdg km miaka mi 3 hivi. Na dawa huwaga natumia hizi za pain releaf tu kama diclofenac n.kUnahitaji ya kutibu au kupunguza maumivu?
Una tatizo ggn, limeanza lini na ushatumia dawa gani?
Nini sawa ya ugonjwa wa wazimu? Asante Mkuu!Diazepam iko classified kama benzodiazepinederivate. Benzodiazepines zinajiunga kwenye receptor mwilini iliyopo kwenye ubongo inayoitwa GABA-receptor.
Na inasababisha muongezeko wa inflow ya chloride ions kwenye nervecells.Matokeo yake inapooza baadhi ya parts za ubongo. Hali hio inaweza kuleta;
Pshycological effects: Nazo ni anxiety withdrawal au sedative effect (kusaidia mwili urelax kama mfano unatakiwa kufanyiwa surgical procedure)
Hypnotical effect: Inachosha ubongo kwahio inaweza kutumika kama sleeping inducer (dawa ya usingizi), Au inaweza kutumika kama muscel relaxer na kusaidia na cramps/spasms!