Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Inaponyesha kabisa au inatuliza maumivu tu?

Inatibu kwa muda Herpes ni ngumu sana kutibika moja kwa moja
Ani utapona then baada ya muda immunity ikiwa shaked vinaweza tokea tena utatumia dawa vitapotea
Au kama vikiwa chronic saana dokta anaweza kukushauri utumie kwa muda mrefu hata baada ya kupotea
 
Inatibu kwa muda Herpes ni ngumu sana kutibika moja kwa moja
Ani utapona then baada ya muda immunity ikiwa shaked vinaweza tokea tena utatumia dawa vitapotea
Au kama vikiwa chronic saana dokta anaweza kukushauri utumie kwa muda mrefu hata baada ya kupotea
Shukrani mkuu
 
Shikamoo mkuu, naomba kufahamu tiba ya pearly penile papules pamoja na bawasiri na pia sikio langu huwa nalihisi kama lina maji na huwa linawasha kiasi pamoja na kuziba kwa muda mrefu lakini kila hospital nilioenda nimeambiwa sina tatizo nikapiga na bomba hadi nikawa nazisikia hatua zangu kama bomu lakini wapi, msaada tafadhali.
 
Habari mkuu naomba kuuliza, ninawezaje kuongeza urefu , ukubwa na uimara wa penis yangu hadi inchi 6.5 maana penis fupi inch 4.0, sipat raha kabisa ya tendo la ndoa, tafadhali naomba msaada wowote hata ushauri au solution ntashukur sana, wahusika weny elimu kuhus mambo ya uzazi nisaidien niko Hoi jamaniii
Pole sana mkuu.jikubali
 
Baada ya kupitia kila case na the way Dr kajitahidi Ku solve congrats kwake mamii

Umetoa right treatment na ushaur mzur kwa kila case Mimi kama mfamasia nakupa bigup za kutosha.

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Unahitaji ya kutibu au kupunguza maumivu?
Una tatizo ggn, limeanza lini na ushatumia dawa gani?
mkuu nataka ya kumaliza kbx ikiwezekana, ttz ndio hilo yaan kiuno kinauma balaaa kMa uck wa Jana ckulala kbx, ttz Lina muda kdg km miaka mi 3 hivi. Na dawa huwaga natumia hizi za pain releaf tu kama diclofenac n.k
 
Diazepam iko classified kama benzodiazepinederivate. Benzodiazepines zinajiunga kwenye receptor mwilini iliyopo kwenye ubongo inayoitwa GABA-receptor.

Na inasababisha muongezeko wa inflow ya chloride ions kwenye nervecells.Matokeo yake inapooza baadhi ya parts za ubongo. Hali hio inaweza kuleta;

Pshycological effects
: Nazo ni anxiety withdrawal au sedative effect (kusaidia mwili urelax kama mfano unatakiwa kufanyiwa surgical procedure)

Hypnotical effect:
Inachosha ubongo kwahio inaweza kutumika kama sleeping inducer (dawa ya usingizi), Au inaweza kutumika kama muscel relaxer na kusaidia na cramps/spasms!
Nini sawa ya ugonjwa wa wazimu? Asante Mkuu!
 
51 Reactions
Reply
Back
Top Bottom