Hata tukikushauri baadae tena utasahau tulichokushauri. Bora ubaki hvyo hivyo tu.
wee jamaa duuuhAtafute kadi ya ccm ataajiliwa tuMaliza tu uingie mtaani, ukipambana na mtaa nina uhakika utakumbuka kila kitu.
Umeenda chuo ili upata title? Are you an ass or something? With your kind of guys what should we the public expect from your lots. Hivi hudhani kuwa umewadhulumu wale wanafunzi ambao walikuwa na ambition lakini wakakosa mikopo kutokana na vijana wa aina yako? 'SHAME ON YOU'Nipo mwaka wa tatu naenda wanne lakini sijui chochote kile ninachokisomea yani mi ni mtu wa kukariri kwa kwenda mbele pepa ikiisha nasahau vyote.
Na semester ikiisha ndo kabisa nasahau kabisa nilichojifunza semester nzima.
Mbaya zaidi hata vitu nilivyosoma advance navyo kama nilipita patupu yani nipo mweupe peee kama karatasi.
Sasa naona kabisa nikiajiriwa nitaaribu kazi za watu tu.
Sasa nipeni ushauri nifanyeje kuacha chuo siwezi naona nitakosa title mtaani , lakini nachokisoma sikielewi nashindwa hata ambao hawakwenda shule kabisa angalau wao wana mwangaza kuliko mimi.

UNAFIKIRI KILA MTU NI KAMA WEWE..Unawaza ajira eti
Tatizo ni hiyo 666.Achana nayo.Nipo mwaka wa tatu naenda wanne lakini sijui chochote kile ninachokisomea yani mi ni mtu wa kukariri kwa kwenda mbele pepa ikiisha nasahau vyote.
Na semester ikiisha ndo kabisa nasahau kabisa nilichojifunza semester nzima.
Mbaya zaidi hata vitu nilivyosoma advance navyo kama nilipita patupu yani nipo mweupe peee kama karatasi.
Sasa naona kabisa nikiajiriwa nitaaribu kazi za watu tu.
Sasa nipeni ushauri nifanyeje kuacha chuo siwezi naona nitakosa title mtaani , lakini nachokisoma sikielewi nashindwa hata ambao hawakwenda shule kabisa angalau wao wana mwangaza kuliko mimi.
Nipo mwaka wa tatu naenda wanne lakini sijui chochote kile ninachokisomea yani mi ni mtu wa kukariri kwa kwenda mbele pepa ikiisha nasahau vyote.
Na semester ikiisha ndo kabisa nasahau kabisa nilichojifunza semester nzima.
Mbaya zaidi hata vitu nilivyosoma advance navyo kama nilipita patupu yani nipo mweupe peee kama karatasi.
Sasa naona kabisa nikiajiriwa nitaaribu kazi za watu tu.
Sasa nipeni ushauri nifanyeje kuacha chuo siwezi naona nitakosa title mtaani , lakini nachokisoma sikielewi nashindwa hata ambao hawakwenda shule kabisa angalau wao wana mwangaza kuliko mimi.
mkuu wewe unabebwa, hufaulu kwa uwezo wako, hapa kcmc wamejaa type yako ila kwa upepo huu wataenda kuwatibu mama zao na baba zaoNipo mwaka wa tatu naenda wanne lakini sijui chochote kile ninachokisomea yani mi ni mtu wa kukariri kwa kwenda mbele pepa ikiisha nasahau vyote.
Na semester ikiisha ndo kabisa nasahau kabisa nilichojifunza semester nzima.
Mbaya zaidi hata vitu nilivyosoma advance navyo kama nilipita patupu yani nipo mweupe peee kama karatasi.
Sasa naona kabisa nikiajiriwa nitaaribu kazi za watu tu.
Sasa nipeni ushauri nifanyeje kuacha chuo siwezi naona nitakosa title mtaani , lakini nachokisoma sikielewi nashindwa hata ambao hawakwenda shule kabisa angalau wao wana mwangaza kuliko mimi.
Hakuna application ya cozwork mtaani....mtaani ni shule nyingine...yani ukimaliza chuo unaanza darasa la kwanza mtaaniMaliza tu uingie mtaani, ukipambana na mtaa nina uhakika utakumbuka kila kitu.