Nakaribia kudhulumiwa, naombeni ushauri

Ila wewe jamaa, umeandika nini hiki?
 
Yes.
Kweli Maisha magumu, kama umempangisha nyumba mzima anaweza kutengeneza documents akampiga hiyo nyumba
Huyo anachukulia poa lkn tumpe muda huyo jamaa hata kama ni kuruta sio maskini wakushindwa kulipa kodi, mshahara wa chini kwa mwanajeshi haupungui 1.2 take home, ndio ashindwe kulipa 50 au 70 kwenye hilo, na kama anaishi bila ya familia itakuwa pesa zote anamalizia kwenye pombe au wanawake, maana kwenye kambi nyingi za jeshi wameweka bar mshahara ukitoka tu inakuwa kama fungulia goli.
 
Acha kuogopa vyeo.. Nenda Kambi yake ongea na Mkuu wa Kambi... Imeisha hiyo....
 
Mimi nimetoa ushauri wangu kwa mujibu wa huyo mtoa mada akili yake ilivyo, sikutoa ushauri kama ningekuwa mimi, kwa sababu ningelikuwa mimi asingewahi hata kujaribu kunifanyia hivyo, tungeheshimiana
 
Are you normal?
 
Jua jina lake kamili, then nenda makao makuu ya jeshi kamshtaki.
nawe utapangishaje mwanajeshi? pole sana
 
Hakuna kitu kama hicho
 
Khaa!kwa hiyo wapo juu ya sheria au ameyatimba kivipi?Acha kumtisha mwenzio
 
Katika kada wanazoishi maisha magumu ni wanajeshi.
Hapo ukitoa vitu bila yeye kuwepo una kesi utatengenezewa.
Hivi vikozi vifupi havizidi miezi 4, subiri arudi umtoe kwa kutumia mjumbe au mwanasheria mchezo umeisha. Atalala mitaroni huyo nguchiro
Too generalised mkuu., nahisi umeandika kwa hisi bila fact. Mambo kwa ground ni tofauti mkuu.

Kwa hiyo JWTZ wana hali ngumu kuliko kada zingine means PT, MT, ualimu nk?? Unafahamu hata bajet ya JWTZ kulinganisha ni hizo kada zingine?
 
Tusubiri marejesho
 
Migogoro ya ardhi likiwemo hilo la kodi hayapokelewi polisi kwa sababu hiyo sio jinai bali ni shauri la madai hivyo apeleke shauri lake baraza la ardhi na nyumba la wilaya.
Uko sahihi kwa sehemu mkuu.

Ingawa lazima shauri lianzie Baraza la Ardhi la Kata kwa ajili ya Usuluhishi. Wakishindwa Kata ndio liende Wilaya.

Thanks anyway, ingawa sitaki huu usumbufu, nataka tu aachie chumba changu.
 
Hawa watu wanaitwa askari si watu wa kufanya nao ukaribu hata kidogo, kama ni urafiki uwe wa kupeana tu salamu barabarani ila kuwaingiza kwenye maisha yako binafsi hasa ya kifedha utaishia kulia
Ni vile tu sina muda mkuu.

Ila ningeamua kuruka naye mbona hakuna rangi angeacha kuona.

Ni vile tu kila nikifikiria kumuharibia mtu kibarua chake roho inakuwa nzito.
 
Dalali aliyemleta most likely anajua.

Hao wapangaji jirani zake, most likely yawezekana alishawahi spit-out kambi yake.

Anzia hapo Lugalo, kama sio wa kambi hiyo, Mkuu wa Kambi atakusaidia kumlocate sababu una mjua majina yake.
Akishajua force number yake tu mchezo umeisha

Aende hapo lugalo au ngome watajua wapi Kambi yake ilipo.
 
Hana familia mkuu. Ni mtu wa pombe ila ana kadem kake kamoja ambako kanakujaga akiwepo.

Next stop ni Upanga mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…