Wakuu,
Kuna dada ananiambia kuwa mchumba wake alimwomba simu, akaifanyia kitu/utundu fulani, matokeo yake huyo jamaa amekuwa anapata nakala ya msg zote zinazotumwa kwa huyu dada.
Ninachotaka kujua je hiyo kitu inawezekana kwel? Kama kweli inawezekana mbona ni hatari sana kwa mahusiano?
Naombeni usaidizi kwa hili.
Du ipo sana sio nakala hata calls details zote unapata! Don't try it at home!
Unachotakiwa ni kuinstall software zipo nyingi sana ila nzuri ni smstrack ila jitahidi kuweka vocha kwenye hyo simu unayotrack maana kama haina hela haitumi sms charges ni zilezile za kawaida sms sh 40!

Nikupe ofa kaka kama unataka lakini iwe installed kwa simu ya shemeji I mean ye ndo awe anapata copy from u....Mbona hali hii ni hatari sana kwa Maisha?
Kama unataka kumtrack shemeji basi angalia usije ukapata heart attack.Mbona hali hii ni hatari sana kwa Maisha?
Du ipo sana sio nakala hata calls details zote unapata! Don't try it at home!
Unachotakiwa ni kuinstall software zipo nyingi sana ila nzuri ni smstrack ila jitahidi kuweka vocha kwenye hyo simu unayotrack maana kama haina hela haitumi sms charges ni zilezile za kawaida sms sh 40!
Mkuu,mkuu anatumia simu gan ungetoa details hizo tungeanzia hapo