Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 284
Kupitia kwenye kipindi cha Amplifier cha Clouds FM cha leo, Nakaaya Sumari amesema ameachana na siasa kabisa na anaamini ulikuwa ni uamuzi wa pupa kwa yeye kujiingiza kwenye siasa.
Anasema siasa haina dili na watu wanakuwa maarufu kwa muda tu, so ni bora aconcentrate na uanaharakati. Akaendelea kusema kuwa hakuna tofauti kati ya siasa ndani ya chadema na ccm....wote ni walewale tu.
My personal view: The girl looks desperate, alifikiri angefikiriwa na mkuu baada ya kuchana kadi ya chadema pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha na kupewa ya CCM. Namuonea huruma sana, hajamaliza ya kwenye kutapeliwa kwa kupewa mkataba feki na Sony Inc, mengine yanampata tena.