Nakaaya Sumari aachana na siasa; akiri hana passion nayo

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
284
Kupitia kwenye kipindi cha Amplifier cha Clouds FM cha leo, Nakaaya Sumari amesema ameachana na siasa kabisa na anaamini ulikuwa ni uamuzi wa pupa kwa yeye kujiingiza kwenye siasa.

Anasema siasa haina dili na watu wanakuwa maarufu kwa muda tu, so ni bora aconcentrate na uanaharakati. Akaendelea kusema kuwa hakuna tofauti kati ya siasa ndani ya chadema na ccm....wote ni walewale tu.

My personal view: The girl looks desperate, alifikiri angefikiriwa na mkuu baada ya kuchana kadi ya chadema pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha na kupewa ya CCM. Namuonea huruma sana, hajamaliza ya kwenye kutapeliwa kwa kupewa mkataba feki na Sony Inc, mengine yanampata tena.
 
yeye wamemfanya kama zile karatasi wanazotymia akina dada wanapokuwa safari za anga. wakishatumia wanatupa na hawataki tena zionekane hizo karatasi inagwa wakati zaikfanya kazi zilionekana za maana.....huyo ndiyo nakaaya...wamemtumia sasa it is ova!!!!!
 
Kupitia kwenye kipindi cha Amplifier cha Clouds FM cha leo, Nakaaya Sumari amesema ameachana na siasa kabisa na anaamini ulikuwa ni uamuzi wa pupa kwa yeye kujiingiza kwenye siasa.

Anasema siasa haina dili na watu wanakuwa maarufu kwa muda tu, so ni bora aconcentrate na uanaharakati. Akaendelea kusema kuwa hakuna tofauti kati ya siasa ndani ya chadema na ccm....wote ni walewale tu.

My personal view: The girl looks desperate, alifikiri angefikiriwa na mkuu baada ya kuchana kadi ya chadema pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha na kupewa ya CCM. Namuonea huruma sana, hajamaliza ya kwenye kutapeliwa kwa kupewa mkataba feki na Sony Inc, mengine yanampata tena.

Kikwete alisemama, akamwita Nakaaya na kumshika mkono kisha akawauliza wananchi wa Arusha na nukuu "Mnamuona Nakaaya". Dada huyu akarudisha kadi ya CDM mbele ya wananchi aliwaimbia kuhusu CDM ktk jukwaa hilohilo wiki iliyopita kwenye mkutano wa CDM.
Nakaaya hakuwai kufanya siasa kwa kiwango cha kujitangaza kua anaachana nazo.
Siasa ya kuhongwa milion tatu na CCM na kuikimbia CDM nayo inahitaji kuitwa siasa????
Nakaaya amehongwa milioni tatu na Mr.Politician akabadili msimamo wake.
 
Huyu binti hivi hana mshauri? Anakoelekea anaweza kunywa sumu, namwomba Nancy (mdogo wake) amvute dadake pale Frontline asaidie hata kupanga mafile, otherwise tutampoteza huyu binti.
 
Mambo ya siasa ni passion, ni sehemu ya maisha ya watu. Kuna watu katu huwezi kuwatenganisha na siasa maana ndio maisha yao. Wapo tayari kupoteza kazi au maslahi fulani ili tu waweze kusimamia msimamo fulani wa kisiasa. Watu wa namna hii sio wahamaji wa chama ndani ya mwaka 1 na hutawasikia wakisema wameacha siasa maana kwao siasa ni maisha.
 
Katika concept ya entrepreneurship tuna sema alishindwa kucalculate risk vizuri,mwenzie sugu anakula ndefu..mambo mazuri hayataki haraka
 
Nakaaya si mwanasiasa bali alikuwa anajaribu kuwa mwanasiasa. Mnampa hadhi kubwa bila sababu ya msingi.
 
wakuu huyu demu mie nilisikia kuwa kaolewa na mzungu na kwenda kuishi zake marekani, kumbe yuko bado hapa ndani ya bongoland! duuuuH, hivi naye alikuwa mwanamagmba tena wa kusilimu, kazi kweli kweli!! Atafute pedeshee mwingine aendelee kumchakachua, kwani hiyo kitu ni kiselema kusema itaisha?

Atoke zake huko, mweeh!
 
Kweli huyu hajui anachokifanya ila kila chenye mwanzo hakikosi mwisho..Alifikiri CCM ni rafiki wa kudumu.Huyu binti alitoka CDM kwa mbwembwe sana ..Nadhani anabidi atafute bwana awe anafua nguo na kupika nyumbani na kusafisha nyumba siasa hataiweza.
 
Back
Top Bottom