Tafuta tiba, una shida ya upungufu wa nguvu za kiume!!Habarini wakuu,
Mimi naombeni msaada bao moja nachukua Masaa mawili hadi matatu na nikishapiga chali.
kuna muda mwingine naweza nisimalize kabisa nikaahirisha mechi.
Je, huu niugonjwa ama ni nini sababu.
Mwanzo nilikua napiga dakika tano bao moja halafu unakuta nalalamikiwa sana.
Sahivi mambo yamebadilika sielewi naona kama namuonea wife sababu naweza kukaa hadi masaa matatu bila kumwaga hadi tunagombana
Naombeni ushauri?