Nakaa muda mrefu bila kufika kileleni je ni tatizo?

inama

Senior Member
Joined
Oct 9, 2021
Posts
181
Reaction score
357
Habarini wakuu,

Mimi naombeni msaada bao moja nachukua Masaa mawili hadi matatu na nikishapiga chali.

kuna muda mwingine naweza nisimalize kabisa nikaahirisha mechi.

Je, huu niugonjwa ama ni nini sababu.

Mwanzo nilikua napiga dakika tano bao moja halafu unakuta nalalamikiwa sana.

Sahivi mambo yamebadilika sielewi naona kama namuonea wife sababu naweza kukaa hadi masaa matatu bila kumwaga hadi tunagombana

Naombeni ushauri?
 
ULIPONA NGUVU ZA KIUME?

ULIPONA NGUVU ZA KIUME?

Ndio Ila kunatiba ya asili nilipewa baada yakumaliza dozi nimejikuta nimekua kero kwa mwenzangu sababu nachelewa sana
 
Pole .utakuwa na sukari au presha inakunyemelea au unayo moja wapo huwa inasababisha hali hiyo
 
Hebu wadada tuwekeni sawa, kwani wanawake mnaridhika angalau wanaume tukikaa dk ngap
 
Habarini wakuu,

Mimi naombeni msaada bao moja nachukua Masaa mawili hadi matatu na nikishapiga chali.

kuna muda mwingine naweza nisimalize kabisa nikaahirisha mechi.

Je, huu niugonjwa ama ni nini sababu.

Mwanzo nilikua napiga dakika tano bao moja halafu unakuta nalalamikiwa sana.

Sahivi mambo yamebadilika sielewi naona kama namuonea wife sababu naweza kukaa hadi masaa matatu bila kumwaga hadi tunagombana

Naombeni ushauri?
Kula ushibe, pumzika, ondoa stress.
 
Ushauri wangu hilo linaweza kuwa tatizo lakini usitumie tena dawa kuliondoa....lipe muda huenda litaisha polepole. Ila kama lina muda mrefu nenda kafanye check up ila usiwaambie ulitumia mitishamba. Ahsante
 
Usiwe na wasiwasi, dawa uliyotumia bado Ina nguvu nyingi, baada ya muda utakua sawa, nimewahi kutumia hio dawa naijua.
Ndio Ila kunatiba ya asili nilipewa baada yakumaliza dozi nimejikuta nimekua kero kwa mwenzangu sababu nachelewa sana
 
Ndio Ila kunatiba ya asili nilipewa baada yakumaliza dozi nimejikuta nimekua kero kwa mwenzangu sababu nachelewa sana
Kumbe unajua sababu.Sasa rudi kwa aliyekutibu akupe dawa ya hisia
 
Back
Top Bottom