MSAADA: Tatizo la kuchelewa kufika kileleni

MAHERr

Member
Sep 24, 2021
16
15
Naa'm wakurugenzi, natumaini mu wazima wa afya.

Moja kwa moja niende kwenye mada. Moja kati ya lengo la kufanya mapenzi ni kufika kileleni, lakini linapokuja suala la kuchelewa inakuwa kero kwa mwenzako.

Nimesoma makala mbalimbali kutoka humu JamiiForums na kwenye social medias nyingine kuwa, wanaume wengi wamekuwa wakilalamika juu ya kuwahi kufika kileleni, lakini kwangu mimi imekuwa ni tofauti.

Wataalamu wa mambo wanasema kuwa muda sahihi wa mwanaume kukaa kwenye tendo kwa bao la kwanza ni kati ya dakika 7-15 na nimesikia kuwa kuna baadhi ya vijana huenda mpaka kweny dk40.

Kwa wastani huwa natumia masaa 2 had 2:30 kwa bao la kwanza na hiyo ni kama sijajihusisha na sex kwa atleast wiki 2 hivi. Na kama nitafululiza, mfano jana nilifanya na leo nikafanya, hunichukua hadi masaa manne kwa bao la kwanza. Hii imepelekea kutokuelewana na mpenzi wangu na mara nyingi huwa na ishia njiani (yani simwagi) akianz kulalamika kuwa amechoka.

Kwahiyo naombeni msaada wakuu na ushauri.

NB: sijawahi kutumia viagra au dawa za kusisimua misuli, pia sijawahi kufanya masturbation. Na kamwe sijawahi round when I sex.

Kwenu wakuu.
 
Naa'm wakurugenzi, natumaini mu wazima wa afya. Moja Kwa Moja niende kwenye mada,. Moja kati ya lengo la kufanya mapenzi ni kufika kileleni, lakini linapokuja suala la kuchelew, inakuwa kero kwa mwenzako,. Nimesoma nakala mbalimbali kutoka humu jamiiforums na kwenye social medias nyingine kuwa,wanaume weng wamekuw wakilalamika juu ya kuwahi kufika kileleni,lakini kwang mim imekuwa ni tofauti. Wataalam wa mambo wanasem kuw mda sahih wa mwanaume kukaa kweny sex kwa bao la kwanza ni kati ys dakika 7-15 na nimesikia kuwa kuna baadhi ya vijan huwend mpaka kweny dk40. kwa wastan huwa natumia huwa natumia masaa 2 had 2:30 kwa bao la kwanza na hiyo ni kama sijajihusisha na sex kwa atleast wiki 2 hivi. Na kama nitafululiza mfano jana nilifanya na leo nikafanya, hunichukua had masaa manne kwa bao la kwanza na hii imepelekea kutokuelewana na mpenzi wang na mara nying huwa na ishia njiani (yani simwagi) akianz kulalamika kuw amechoka. Kwahiy naomben msaada wakuu na ushauri. NB: sijawah kutumia viagra au dawa za kusisimua misuli. Pia sijawahi kufanya masturbation. Na kamwe sijawahi round when i sex. Kwenu wakuu.
Una mtoto hata wa kusingiziwa???

Kama huna na upo serious hilo ni ttz muone daktari nakupendekezea muone Dr Boaz Mkumbo yupo mitaa ya mwananyamala hospital ama search mtandaoni utapata mawasiliano yake delayed ejaculation nadhani inaweza pelekea ukashindwa kutungisha mimba
 
Nmewahi kukumbwa na Tatizo Kama hili,

Tusichukulie POA,inatesa sn hii hali
Kwangu ilikua Ni zaidi ya nusu kifo dudu ikishasimama.

Kuna MDA nilihisi labda wife/mchepuko keshaniroga.

Nashkuru sana michango ya wanajf
Kiukweli sijutii kuijua jf, walinishaur vizur Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naa'm wakurugenzi, natumaini mu wazima wa afya. Moja Kwa Moja niende kwenye mada,. Moja kati ya lengo la kufanya mapenzi ni kufika kileleni, lakini linapokuja suala la kuchelew, inakuwa kero kwa mwenzako,. Nimesoma nakala mbalimbali kutoka humu jamiiforums na kwenye social medias nyingine kuwa,wanaume weng wamekuw wakilalamika juu ya kuwahi kufika kileleni,lakini kwang mim imekuwa ni tofauti. Wataalam wa mambo wanasem kuw mda sahih wa mwanaume kukaa kweny sex kwa bao la kwanza ni kati ys dakika 7-15 na nimesikia kuwa kuna baadhi ya vijan huwend mpaka kweny dk40. kwa wastan huwa natumia huwa natumia masaa 2 had 2:30 kwa bao la kwanza na hiyo ni kama sijajihusisha na sex kwa atleast wiki 2 hivi. Na kama nitafululiza mfano jana nilifanya na leo nikafanya, hunichukua had masaa manne kwa bao la kwanza na hii imepelekea kutokuelewana na mpenzi wang na mara nying huwa na ishia njiani (yani simwagi) akianz kulalamika kuw amechoka. Kwahiy naomben msaada wakuu na ushauri. NB: sijawah kutumia viagra au dawa za kusisimua misuli. Pia sijawahi kufanya masturbation. Na kamwe sijawahi round when i sex. Kwenu wakuu.
Ni tatzo mkuu muone mtaalamu
 
Back
Top Bottom