Najuuta kusoma jamani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najuuta kusoma jamani...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Jan 27, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wanajf wenzangu mie nashindwa elewa hv nn dhumuni la kupata elimu..mimi ni mmoja kati ya wahitimu maelfu waliomaliza vyuo mbalimbali tz,lakini kitu kinachoshangaza asilimia karibu 90 ya wahitimu wa vyuo hawana ajira ,je utumishi wa umma ambao wanadhamana ya kutangaza nafasi za ajira wanajua hlo au wanasubiri hadi vijibabu na vijibibi vilivyopo makazini vife(siombei) ndo tupate ajira ama?tusaidiane wapendwa ili kdunchu tupate afueni mana hadi muda huu tunajutia elimu zetu jameni,lol...
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Unajuta kusoma, je usingesoma miaka yote hiyo ungekuwa unafanya nini?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Pole mkuu.
  Ni kweli ajira zinazotoka utumishi ni za kujuwana mno, na si wote wenye ndugu huko.
  Lakini mkuu ukikaa na kusubiria uitwe kwenye kazi, jambo hilo ni kama historia kwa sasa.
  Kwa kuanzia unaweza kutumia taaluma yako kujishughulisha, kama utaona yafaa basi komaa.
  Najua utakimbilia kuuliza mtaji! Kweli mtaji ni ishu kwa beginners kama wewe ambapo hata benki hazitaki kuwasikilizeni.
  Lakini mtaji mzuri ni ule unaokua, kwa maana ya kuanza taratibu na mtaji mdogo..then unamonitor ukuaji wake, righ
   
 4. M

  Matarese JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jiajiri mwenyewe mwanangu. Ila kwenye mawaziri kuna waziri mwenye dhamana ya ajira, hivi huyu┬┤kazi yake ni nini? mm sijui wala sijawahi msikia anasema mkakati wake wowote kuhusu ajira.
   
 5. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hili ndilp tatizo kubwa la wasomi wengi wa Tanzania. Wanasubiri kuajiriwa badala ya kutumia elimu yao waliopata mashuleni kujiendeleza. Elimu yako itakuwa haijakusaidia kama utasubiri kuajiriwa serikalini. Tafuta namna ya kutoka kwa kutumiia e,imu yako na ujuzi uliopata chuoni mkuu. Tust me you will find yourself in a better level if you will use at least 1/3 of your education.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,446
  Likes Received: 19,815
  Trophy Points: 280
  "Tunisia has also seen a spate of similar attempted suicides since December 17, when university graduate Mohamed Bouaziz torched himself after police confiscated the fruit and vegetables he was selling for not having the correct permit."
  una pumzi kama ya huyu kijana? kama huna basi vumilia tu kamanda wangu
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  ondokana na wazo la kuajiriwa,jaribu kubuni kitu cha kufanya kinachoendana na elimu yako
   
 8. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Pole sana member!
  Umesomea nini?
  Chuo gani uliposomea ?
   
 9. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  but wanajf wenzangu mfumo wa elimu yetu ndo unaotufanya tuwe job seekers not job creators,kwa hiyo its betters for us kuwa na mfumo thabiti utakaoandaa wahitimu kuwa job creators,anyways nimewapata wote,thanx for advices pals
   
 10. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  @maalim jumar ,nimemaliza udsm mwaka 2010 na nimesomea mambo ya social science
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,446
  Likes Received: 19,815
  Trophy Points: 280
  hausomi magazeti nini? mbona kazi zinartoka kila wakati? au nyie ndio mna uile hulka kuwa kazi wanapewa watoto wa wakubwa tu nini? we aplly kitu chochote hata kama kupiga deki kila kitu ni mbele kwa mbele ebo
   
 12. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Kumbe am wahanga wengi!
   
 13. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwanza hongera kaka!
  Ninae kaka'ngu nae alimaliza hapo ila yeye tangu 2003 anajishughulisha kwa kazi zake binafsi.
  Ni zakawaida lakini zinamwezesha kuishi jijini bila mashaka. Na taaluma yake ilivyo hana aibu akiwa kazini kwake.
  Sasa vipi nawewe? Bado unaona aibu?
   
 14. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wazee umri wa kustahafu unafika cha ajabu wanaongezewa mikataba mingine unakuta mtu anapewa tena mkataba wa miaka 5!unategemea wewe utakuja pata kazi kweli!
   
 15. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Yaani sikutegemea msomi huyu aweke Title hii!!!
  Naamini kusoma ili usiwe jahili. Lakini siku hizi kusoma ili usiwe masikini. Hii mpya ya sasa!
  Napenda maisha yawe mazuri kwa kila mtu!
   
 16. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kama ni kusoma watu waendelee kusoma. Employment is another case. Angalia things in life in a big picture or perspective.na usijilinganishe na wengine. Sote tumepitia huko na hatukukata tamaa na leo hii tuna ajira. Hiyo hali ilikuwepo na itaendelea kuwepo kila mahala dunia hii.
  Mfano: Kuna unemployment kubwa hapa US kwa sasa na still watu wanaenda shule na hundreds of thousands wanaendelea kugraduate kila semester. I'm sure ukisha-graduate after sometime utaweza kufit somewhere. When or where? I don't know!! Ikibidi kuwa agressive na angalia opportunities beyond Tanzania, hiyo ndio sababu hata wakenya wanaendelea kufurika bongo kila kukicha.
  My take: Ni bora uwe na elimu/skills then ikitokea opportunity ukai-seize, kuliko uwe kichwani sifuri na ukazidi kuwa **** na hata opportunity ikitokea hutaweza kuichangamkia sababu huna skills/qualifications.
   
 17. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Thanx all for contributions-now nimepata nguvu za kusema"TEARS ARE FOR BABIES...WORRIES ARE FOR FOOLS"...am sure that before this year runs out,we shall find ourselves somewhere that no one can-not even brings us down,lets pray hard,seek hard and am sure allah/Jah/God will make a way where seems to be no way.
   
 18. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  very gud,hamna sabab ya kukata tamaa,maisha ni mapambano ndugu yangu.
   
 19. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kwanza kabisa, biashara ni kipaji wajameni, unaweza ukapewa mamilioni yote yakateketea bila mpango, sio wote wanaoweza kufanya biashara ndio maana kila nchi ulaya na africa vilio ni kuajiriwa.
  huku ulaya bwana, viongozi wote wanapigania watu wao waajiriwe(hamana hata mmoja niliyemsikia akisema eti usingoje kuajiriwa, kwahiyo jiajiri).
  kwako wewe kupata 1000 ni rahisi sana, lakini kumbuka kuna mwengine shilingi 50 inamshinda,hajui aipate wapi,kwahiyo mkimjibu kwamba ajiajiri bila ya kujua hali yake mnamvunja moyo.
  halafu most of vyuo na course za kibongo zinatumia theory tu, inakuwa ngumu sana mtu anayemaliza kuweza kufanya chochote kutumia kisomo chake.
   
 20. M

  MANAKE MKARI Senior Member

  #20
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ya Tunisia yatakuja bongo watawala wasipokuwa makini.Tunisia ina watu milion kama 10 lakini inatoa wasomi kama 40,000 kila mwaka. Hili la wasaomi kuokas ajira ni tatizo na bomu kubwa ambalo watawala wanatakiwa walifanyie kazi haraka sana kama vile wanavyotaka kulipa tuzo ya do wa nsi. Tunisia waliambiwa siku nyingi na IMF kwamba hawa wasaomo jobless watakuja kuwaletea matattizo makubwa lakini wakulu didn't care.Sasa hivi tumeona kilichotokea na kinasambaa hadi nchi nyingine.
  Hii kusema wajiari haina mashiko hata chembe kwa maana wengi ambao wamejiari kwa sasa waliajiriwa somewhere kabla. Hivi unapomwambia fresh graduate ajiajiri ataanzia wapi jamani?
  Kwenu mlioko madarakani, 2015 itakuwa songombingo maana graduate wengi hawana kazi (hata waalimu wanakosa kazi ingwa shule kibao hazina waaalimu) na hizo failure za form four (50 % ni 0) sijui kama mtapita salama.Take care
   
Loading...