Najuuta kuhama

Najuuta kuhama

Ilikuwa ni miezi miwili iliyopita nilipochukua uamuzi wa kuhama nyumba niliyokuwa mara ya kwanza.
Kama mtakumbuka ni ile ambayo baba mwenye nyumba aligundua kuwa namgegeda mwanae.
Basi baada ya kuhama nilipata nyumba nyingine maeneo fulani ya Sinza. Baada ya kuhamia hapo rasmi, ilinichukua mwezi kufahamu ukweli halisi kuhusu nyumba hiyo.
Kwanza walikuwa wanaishi wanawake ambao wanajiuza. Hilo nililigundua baada ya kuona kila mmoja anatoka na kurudi usiku mnene na siku nyinginezo hurudi asubuhi kabisa.
Kiukweli japo niliwauma wawili, lakini ilikuwa kabla ya kubaini kuwa hiyo ndiyo biashara yao.
Kitu kingine kinachonifanya nijute ni tabia yao ya kunisema na kunitizama kila nikipita. Hata iwe mchana wananisema na kwa muda wao wenyewe wanakuja na kuniambia kuwa fulani alikuwa anakusema (wanakuja tofauti tofauti).
Baada ya kugundua tabia hiyo, nilisema kuwa njia mwafaka ni kuwatafuna wote na kweli nilifanikisha azma yangu lakini bado wananisema.
Jambo la tatu linalonifanya nijute ni kuhusiana na tabia yao ya kunitumia kama mtu wa kuwafungulia geti.
Hilo linatokana na dirisha la rum yangy kuwa karibu na ukuta wa geti kwa hiyo hunigongea mpaka inakuwa kero.
Nakereka kwani nyakati wakirudi wanakuwa na mawenge ya pombe na wakati mwingine akirudi mmoja basi atang'ang'ania hadi nimkaze. Nimechoka kwelii
Najuuuta kuhama. Bora ningebaki namtafuna mtoto wa mwenye nyumba.
Sasa unalalamika nini hapo wakati wewe ni Fisimaji na unapenda kukaza? Angalia tu wasikupe ngoma basi.
 
Sasa unalalamika nini hapo wakati wewe ni Fisimaji na unapenda kukaza? Angalia tu wasikupe ngoma basi.
Mkuu maneno yako makali hadi naogopa. Fisimaji alishawahi kutukosa kosa mtoni kiongozi. Najitahidi kuondokana na tania hiyo
 
Huna lolote umal..aya umekuponza tulia ikibidi ongozana nao mrudi pamoja mruke ukuta yaani kuhamia NA kuhamia tu ushatoka nyuchi 2
Ni kweli umal***a umeniponza lakini siwezi ongozana au jumuika nao tena
 
Wapo wangapi mkuu na wote umewagegedaa duuh sasa wamekugeuza mlinz wa kuwachngulia duh
 
Wapo wangapi mkuu na wote umewagegedaa duuh sasa wamekugeuza mlinz wa kuwachngulia duh
Napata wakati mgumu sana. Ila kuanzia leo ni mwendo wa kufungulia redio kwa sauti na kulala hata wagonge namna gani siwafungulii
 
Aliekufunga minyororo hapo nani? Si uhame tena! We unaishi nyumba imejaa wadada afu unashangaa kusemwa!
 
we endelea nao tu siulijifanya bingwa wa kugegeda watoto wa wenye nyumba sasa shetan kakupa kazi kwako tu
 
Back
Top Bottom