Najuuta kuhama

Najuuta kuhama

Aisee mkuu fanya uchunguzi wa kutosha kabla ya kuchukua uamuzi wa kuhamia hiyo sehemu nyingine,usije ruka kaa la moto ukatumbukia kwenye tanuru la moto mkuu!!
 
umeruka mkojo ukakanyaga mavi...angalia usiukwae maana ni atleast mtoto wa mwenye nyumba kuliko malaya
 
Aisee mkuu fanya uchunguzi wa kutosha kabla ya kuchukua uamuzi wa kuhamia hiyo sehemu nyingine,usije ruka kaa la moto ukatumbukia kwenye tanuru la moto mkuu!!
Hakuna kitu ninachokipenda kama kufanya selection. Hapa nafanya selection ya kufa mtu
 
Back
Top Bottom