Najuta sana

Uwongo kaka..
 
Sijui kitachotokea, ila story yako imenikumbusha Tanga mitaa ya chuda nilipataga hifadhi kwa workmate wakati nimeenda kuanza kazi baada ya chuo. Ni zile nyumba za siku nyingi, kuna mdingi wa makamo ila mswahili alikuwa ndo mwenye nyumba nae anaishi chumba kimoja na mke wake ni bonge la kisu mwarabu shombeshombe hivi.

Sasa mimi nilikuaga namtamani sana, na alikuaga ni dem anaependa story. Siku moja tumetoka job Jumamosi mida ya sa nane tukakutana na father house akasema anasafiri atarudi baada ya kama siku 3. Nikamwambia jamaa yangu kumbe huyu mzee huwa anasafiri anamuacha manzi? Hapo akili ya kujilia usiku usiku ikaja. Jamaa yangu akanambia najua akili yako, ila usithubutu maana huo ni mtego hata mimi alinifanyia sana pindi nimehamia na hadi leo anafanyaga mara mojamoja.

Nikamuuliza anafanyaje? Akasema ngoja utaona. Basi siku hiyo tukatoka jioni tukaenda bar moja inaitwa Nyinda ipo mitaa ya juu tu na home, jamaa yangu akanambia subiri hadi mida ya saa sita hivi ndo turudi home. Kule geto tuliacha taa inawaka huku tumefungulia mziki. Kweli mida ya saa sita tukarudi, jamaa akanambia tutege sehemu kwenye giza tusionekane.

Basi kweli tukaona mtu anaenda dirishani halafu kama anaskilizia then anatoka anaenda nyuma ya nyumba, baada ya kama dak 15 anarudi tena. Mimi akilini nikahisi mwizi, ndo jamaa akanambia yule ni faza hausi. Ndo mambo yake hayo analinda mali kujua kama kuna anaemgongea mke wake. Basi tukaenda ile tunatokeza hivi tunakutana nae akaanza kuzuga eti karudi muda ule toka safari alienda na kugeuza. Hapohapo akamgongea mke wake nae akazama ndani. Nilimdharau yule mzee balaa kwa ule utoto alokuwa anafanya πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mahangaiko yote hayo na nini nae huyo mzeeπŸ˜‚πŸ˜‚
 

wazee wengine kama watoto sasa si angeish nyumba ya peke yake na mkewe
 
Tena wahuni wakishajua michezo yake wanamvizia tu kwisha kazi
Mtu mzima alindwi/achungwi, ni kosa kubwa sana. Kuna dada mmoja mmewe ni mkali anamlinda lakini asubuhi huyo dada anaamka mapema kufanya mazoezi(jogging) anapita kwa mwamba anapata dozi mapema alafu anarejea home kama katoka mazoezi. Huu mchezo kaufanya mpaka jamaa yangu alipoanza kuishi na KE wake ndio ukakoma.
Yaani naangalia nione japo anatype olaaa na nina usingizi balaa
Nawa uso na maji baridi πŸ˜‚
 
Kudadeki, af mtu ukimchunga sana ndio anakukomoa.

Hahaa nitaikuta asubuhi na mapema
 
Dawa yake unakaa na maji ya moto chumbani ukishajua yupo dirishani tu unamwagia yabl uso fasta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…