Najuta sana

Kijana acha uwoga mikasa kama iyo watu tumeshaipitia cha kukushauri nenda polisi waelezee kila kitu kesi ndogo sana iyo
 
kwahy mwanangu unatako laini unajisifia kabisa mwanaume unatako soft

ila kiuzi chako kimekaa kicomedy hv
 
Kesi
Imekwisha hiyo mzee kagongewa na kisasi hapati. Kama una hela hata laki 3 tu jikomboe na wewe. Tafuta na wewe wahuni miraba na kareti kama Sita,ingia nao kwa kishindo pale na ndinga ya kubeba vyombo. Pasua wewe ukiwa katikati mtu akuguse
Kwa maelezo ya jamaa huyo dingi lazima atakuwa na SMG ndani he has jamaa WA karate wanazo? Msimpotoshe jamaa
 
Hii ndio njia rahisi kwangu naona na hata mzee anaweza akamuogopa mshikaji
Kwa maelezo ya wadhifa WA Mzee ni lazima atakuwa na chumba ndani sasa atamuogopa vipi huyo bwana mdogo? Hata aende WA washkaji zake 50 Mzee akipiga moja Tu juu hakina atakaebaki Tu. Cha kumshauri jamaa shame Tu mji asilete ujuaji.
 
Unaweza ukapona leo, au ukapona kesho, ila ipo siku huyo mzee atakunasa. Mwanaume mwenye akili timamu akiamua kulipa kisasi, hakuna cha kumzuia!
 
Dahhh pole Sana aseee Mambo Ni mawili amua kwenda nenda serikal za mtaa upate msaada.Kama una ndugu/rafiki yako mjanja na mnaelewana mwambie atakusaidia.
 
Kwa maelezo ya wadhifa WA Mzee ni lazima atakuwa na chumba ndani sasa atamuogopa vipi huyo bwana mdogo? Hata aende WA washkaji zake 50 Mzee akipiga moja Tu juu hakina atakaebaki Tu. Cha kumshauri jamaa shame Tu mji asilete ujuaji.
SMG kwa ajili ya kulindia mke tu?. Wenye chuma ni wale wenye hela. Chuma ni kwa ajili ya kujilinda mwenyewe na pesa zako, hawana hata mawazo ya kumvizia mke kwa mtindo huo. Huyo mzee bwege hana hicho kitu
 
Mpigie mzee mwambie kila kitu. Mwambie dada hakukuambia kitu
Muombe.msamaha yaishe.

Hili swala ni la kumaliza kirafiki, wanao kudanganya eti tafuta mwanasheria usijaribu. Wewe kapuku unaanzia wapi kuingia ligi na mwenye pesa?
Wew umeongea vyema kuwa usiingie ligi na mwenye pesa Kuna watu huwa wanajiona San ,mwenye pesa anaweza kukufanya lolote pmj na kuwa na haki

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…