Najuta sana

Nacheka kama mazuri


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Angeliwa asingeandika hapa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kubali tu wana wacheze na hayo makalio kwa muda
...afu wanakupakia mkongo mamaee
 


Ka script hapo kalizingua kidogo...

Ungetuambia ulienda nunua umeme so ukabeba simu...

Alafu ungetuambia kwamba kulikuwa na CCTV ila wote mlikuwa washamba hamkujua...

Anyways..

mkuu kwan ww hujui ckuiz km kuna vicamera vdg mithili ya punje ya mchele!!?

mm nilishawah kutegewa camera tena ile ya kuona mpk gizan ndani kwangu ikaegeshwa kwenye mlango wa fridge ikanasa hapo fikiri nafungua fridge nichukue kitu lkn sijapata kuona mpk dakika za mwisho hadi mtegaji akaja kunishtua

kwahy kwa jamaa hapa sishangai
 
Hii ndio njia rahisi kwangu naona na hata mzee anaweza akamuogopa mshikaji
Hicho ndio kitu rahisi kwake. Ksbb tayari ameisoma nguvu ya mzee. Yeye aandar nguvu zaidi kwa laki 3 awambie twendeni tukachukue vyombo vyangu. Awaambie Hali halisi ya pale ilivyo nguvu watakayokutana nayo. Mbona kirahisi tu anaondoka
 
Mpigie mzee mwambie kila kitu. Mwambie dada hakukuambia kitu
Muombe.msamaha yaishe.

Hili swala ni la kumaliza kirafiki, wanao kudanganya eti tafuta mwanasheria usijaribu. Wewe kapuku unaanzia wapi kuingia ligi na mwenye pesa?
Asikuongopee mtu sista, mwanaume akusamehe hicho kitu kwakuomba msamaha
, labda sijui awe Mungu kamwambia mwenyewe. Lasivyo, ni mtu akae muda mrefu sana asahau hilo jambo na maumivu ila still akiibuka maumivu yanamuanza upya vilevile. Mwanaume anasubiria mpaka watoto wanafikia miaka 30 anafungua kesi ya mtoto sio wake maana mkewe alicheat miaka 30 iliyopita sembuse hiyo ya juzi
. Yaani that is from a man's perspective, usitegemee hata siku moja asahau hicho kitu labda awe amemshinda kiuchumi jamaa hivyo atakuwa hanachakumfanya mbali na hapo unampeleka jamaa kwenye kilio chake. Wanaume wanasemwa hawana grudges ila kwahili I assure you hakuna mwanaume asiyeweka grudge na litamchoma hata baada ya kupata kisasi chake ndio maana wengi huishia kujiua hata baada ya kulipiza.
 
Usinga kivipi mkuu hebu funguka vizuri hapo.
Hao mademu wa nini ukiwala.
 
Chukua wanajeshi watano uende ukatoe vitu vyako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…