D
Deleted member 485868
Guest
Katubu
Hahahaaa... Leo siendi [emoji1]Hakuna tatizo ndugu tutakutana kule mtaani kwetu
Hahahaaa... Leo siendi [emoji1]Hakuna tatizo ndugu tutakutana kule mtaani kwetu
Ata kesho utatukuta tuHahahaaa... Leo siendi [emoji1]
Yani siku za hivi karibuni nimekuwa mtenda dhambi Sana.
mshahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele, either wacha njia zako mbaya mara moja au kama shingo yako ngumu unapoteza muda kuchukua maamuzi magumu ya kumrudia Mungu, basi jiandae kufa muda si mrefu, tena kifo cha mwenye dhambi...kuwa makini baada ya kifo ni hukumu hakuna kurudi nyuma uje utubu afu ndo uende tena. mkumbuke Mungu walau bado unapumua!Yani siku za hivi karibuni nimekuwa mtenda dhambi Sana.
Nakuja night late saa 9 usiku. [emoji102] [emoji16]Ata kesho utatukuta tu
watanzania daini katiba mpya lasivyo mtapata tabu sanaYani siku za hivi karibuni nimekuwa mtenda dhambi Sana.
PoleYani siku za hivi karibuni nimekuwa mtenda dhambi Sana.
Kuonesha unajuta kweli toka moyoni, anza kwa kubadilisha jina lako kisha tubu na uokoke!Yani siku za hivi karibuni nimekuwa mtenda dhambi Sana.