Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
Polee mkuu..usirudie tena kula 0713 ya hyo mwenz wako
Unataka kumuangamisha,umpe na kitubio kabisa
Kweli kabisa Mkuu,angeweza kupata ushauri zaidi ya jinsi ya kuachana nazo
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] fujo za mtaani kwetu tusizilete kwa watuMajani
Unamridhisha huyo mwenzako unayezini nae?The same to me. Yaan siogopi dhambi kabisa. Ila nafanya uzinzi zaidi
Wewe dhambi yako ya kupenda kuoa utaiacha lini?[emoji30][emoji30][emoji30]Kujitambua tu kuwa unatenda dhambi ni hatua kubwa, pole na hongera kama umejua kosa rekebisha.
Be specific dhambi gani?Yani siku za hivi karibuni nimekuwa mtenda dhambi Sana.
Ntaacha nikikuoa na weweWewe dhambi yako ya kupenda kuoa utaiacha lini?[emoji30][emoji30][emoji30]
Mungu anakuona![emoji30][emoji30][emoji30]Ntaacha nikikuoa na wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] fujo za mtaani kwetu tusizilete kwa watu
Yani siku za hivi karibuni nimekuwa mtenda dhambi Sana.
Nini bosi kuna tatizo kwani. [emoji15] [emoji87][emoji16][emoji16] [emoji115][emoji115]
Hakuna tatizoNini bosi kuna tatizo kwani. [emoji15] [emoji87]
[emoji102] mbona naona tatizo.Hakuna tatizo
Hakuna tatizo ndugu tutakutana kule mtaani kwetu[emoji102] mbona naona tatizo.