Najuta Kutobeba zawadi kwenye harusi

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Nilifika harusini, na kukuta milango miwili, mmoja umeandikwa ndugu wa Bwana Harusi, mwingine wa bibi harusi; nikaingia wa Bwana Harusi. Mbele nikakuta milango mingine miwili, mmoja umeandikwa wanaume, mwingine wanawake; nikaingia wa wanaume. Mbele nikakuta milango mingine miwili, mmoja umeandikwa Wenye Zawadi, mwingine Wasio na zawadi, nikaingia mlango wa Wasio na zawadi, GHAFLA NIKAJIKUTA NIPO NJE YA JENGO:mad::mad::mad:
 
Unashangaa nini kwani ulikua na zawadi? Siku nyingine ujipange, kwani mkono mtupu haulambwi
 
Nilifika harusini, na kukuta milango miwili, mmoja umeandikwa ndugu wa Bwana Harusi, mwingine wa bibi harusi; nikaingia wa Bwana Harusi. Mbele nikakuta milango mingine miwili, mmoja umeandikwa wanaume, mwingine wanawake; nikaingia wa wanaume. Mbele nikakuta milango mingine miwili, mmoja umeandikwa Wenye Zawadi, mwingine Wasio na zawadi, nikaingia mlango wa Wasio na zawadi, GHAFLA NIKAJIKUTA NIPO NJE YA JENGO:mad::mad::mad:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom