Nahisi wewe ni mdogo wangu na kama sio wewe basi itakuwa story zenu zinafanana yaani mkewe yuko hivyo hivyo mpaka jamaa anatamani kumwachia kila kitu ahame mkoa au nchi kabisa!
ukiachana na yote hayo uliyoongea huko mwanzo mimi hapo mwishoni ndo pamenimaliza kabisa yaani hapo uliposema alikujibu kuwa huwa anashukuru kimoyomoyo ndo pamefunga kazi nimejikuta nacheka kwa nguvu peke yangu alfajiri yote hii aise hilo jibu la mkeo limeifanya siku yangu ianze vizuri
Nimeoa mkuu
Ha haha. ..Mkuu, kwa hiyo wewe hadi umecheka maana unafurahia magumu anayopitia huyu jamaa? Au kucheka kwako kuna maana gani? Sijaelewa!!!
Sidhani kama kuna mtu anaweza toka simba kwenda yanga au yanga kwenda simba....badili hapo mkuuJF kuna mambo.
Eti mke anakuletea matukio.
Ingekua mimi angekua ananiona nikija kubadili nguo asubuhi.
Kama ndani ya wiki hajabadilika. Nabadili mwingine.
Watu wanabadilisha timu kutoka upenzi na Simba kuja Yanga. Wewe mwanamke anakuringia????
Mwanamke???? Siamini
Kwa hiyo baada ya kufika nae makambako ndio ukajua ni wa kanda maalumu? Wewe utakuwa ni kavulana na sio mwanaume wewe.Nadhani ndo naelekea huko!!
Mtu wa SPECIAL ZONE HUYU ,wanajuana wao kwa wao
Yaani huyo mwanamke anamchora tu mshikaji anamuona punguani kabisa majibu gani hayo bado niwe naye aisee nahama mazima sitasikia cha nani wala sijui nani.ukiachana na yote hayo uliyoongea huko mwanzo mimi hapo mwishoni ndo pamenimaliza kabisa yaani hapo uliposema alikujibu kuwa huwa anashukuru kimoyomoyo ndo pamefunga kazi nimejikuta nacheka kwa nguvu peke yangu alfajiri yote hii aise hilo jibu la mkeo limeifanya siku yangu ianze vizuri
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
House girl nilileta kafukuza yeyeMkuu kwani hakuna housegirl hapo?
Na wewe utanibadilikia hvyo?

Nidanganye ili iweje mkuu kwani kuna mtu kanituma kuandika hiki?Sina hata nasaba na Wakurya. Ila uwongo wa mshikaji uko dhahiri.
Na wewe utanibadilikia hvyo?
Ondoka, potea umwache peke yake kama mwaka 1 hivi atakutafuta mwenyewe kwa adabu kabisaTupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Ukishaolewa pesa hupewi tena..utaishia kusuka twende kilioni na kuvaa madela tu hahahaha
Kama pesa ipo sibadiliki ng'ooo, nakupenda na kukupetipeti hadi ushangae.
Basi nitakubadilikia tu for sure.Ukishaolewa pesa hupewi tena..utaishia kusuka twende kilioni na kuvaa madela tu hahahaha