Bichwa kubwaaa weeHiyo nyumba yenu wote hamna adabu.
Halafu inaonekana mkuu wa nyumba kuna mambo unafeli. Hakuna order
Lakin pia si mbaya duniani kila kitu kuna kuzidiana hata mawingu yapo makubwa na madogo kwa hiyo usjali na utani
Habari wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo.Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri....!! Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu,Mke wangu yuko jikoni anaandaa Msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi...!!
Mke: Baba Alson
Mimi:Nambie
Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)
Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)
Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!
BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI....!!!
Nimempenda mkeo, nipe namba yake nimfundishe na utani mwingine mzuri mzuri Kama huoHabari wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo.Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri....!! Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu,Mke wangu yuko jikoni anaandaa Msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi...!!
Mke: Baba Alson
Mimi:Nambie
Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)
Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)
Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!
BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI....!!!
HeeeeBichwa kubwaaa wee
oya imenifanya nicheke mbele za watu sasa wananiona kama dishi limechezambona mambango ya kuongeze dushe yapo meengi najua kilicho kuumiza zaidi ni kumiliki KIBAMIA
Kwamba akiwa "mtoto wa malaya" ndio anaweza kuongea hivyo??....akili inanituma kuamini hii kitu ni ya kutunga.
.....a real man hawezi fanya utani wa aina hiyo hata siku moja...unless uniambie-you are son of bitch.
Nimetania tuHeeee
Kwa hiyo usha anza kumuiga huyo mwenzio sasa!?.
Kabisaaa... Age has no guarantee of maturityNyie ni watoto nina imani mkikua mtaacha huo utoto wenu
Umeona hapo jiran zetu wametaniana mpaka baba alison kaenda kunywa bar.Nimetania tu
Ahahhahaha usiende bana nimefuta kauliUmeona hapo jiran zetu wametaniana mpaka baba alison kaenda kunywa bar.
Na mi ndo naenda kuungana naye huko hatukubali leo