Najuta kumtania mke wangu

Najuta kumtania mke wangu

Ha ha ha ha na usiombeee mzee kichwa cha chini kikiwa kikubwa wanapenda sana yaaan huwambiii kitu
 
sasa utani gani huo......na ulipotoka nje kaenda kumtumia Johnson msg.... miss u J....
 
Kwa hali ya kawaida wewe ndo mkorofii we ulidhani huo utani wako hautamuudhi kwa sababu yeye ana moyo wa jiwee....na alijikujibu hivoo kukukomoaaa
 
Sio mbaya kafikisha ukweli kupitia utani, bora umejua ukweli kuliko kutojua.
 
Hahaa hyo inaitwa mwaga mboga...nimwage ugali...nA jiko nimwagie maji kabisa. ...lol
 
Usimlaumu si umemkumbusha mwenyewe. Utani mwingine si mzuri.
 
kama nakuona ulivokua umefula, nahisi hutarudia tena huo utani
Unajua raha ya utani ukikuuma inabidi umjibu mtani wako jibu litakalo muuma zaidi huo ndio utani 50-50
Maana muanza utani alikusudia kuleta mauzi anacholalamika nini?
 
Kamnunulie viagra huyo umtandike mpaka Hilo jina lifutike kichwani kwake, kila akikuona, utasikia shikamoo mume wangu mwah mwah.
 
Yaan wewe baba alsoni inavyonekana umewahi mapema kuona nakupata famiria alihari ungali na akiri ya kitoto utani namkeo siyo mzuri nimefuatiria ulivyo anza mpaka mlipofikia wote utoto unawasumbua poleni vijana
 
Ha ha ha ha na usiombeee mzee kichwa cha chini kikiwa kikubwa wanapenda sana yaaan huwambiii kitu
Tena akiwa mbunifu ni safi sana,ila wengine hilo bichwa linakuwa kubwa halafu hata hajui kumuandaa mwanamke yeye ikisimama anarukia tuu, si maumivu hayo!
 
Back
Top Bottom