Najuta kumtania mke wangu

Najuta kumtania mke wangu

Hiyo nyumba yenu wote hamna adabu.
Halafu inaonekana mkuu wa nyumba kuna mambo unafeli. Hakuna order

Lakin pia si mbaya duniani kila kitu kuna kuzidiana hata mawingu yapo makubwa na madogo kwa hiyo usjali na utani
Bichwa kubwaaa wee
 
Ha ha ha mpe hi mkeo .. ndiyo kama chake cha chini kitamu ha ha ha ha ha Johnson nakupa hi kwa mbaaliii
 
Kamuombe samahani na uache utani wa kipuuzi puuzi.

Habari wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo.Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri....!! Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu,Mke wangu yuko jikoni anaandaa Msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi...!!
Mke: Baba Alson

Mimi:Nambie

Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)

Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)

Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!

BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI....!!!
 
Sipati pic mkuu alivyovimbaa hata msosi hali leo njoo bar nikupe viroba 3 ukazimike kabisaa no story leo
 
Habari wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo.Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri....!! Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu,Mke wangu yuko jikoni anaandaa Msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi...!!
Mke: Baba Alson

Mimi:Nambie

Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)

Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)

Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!

BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI....!!!
Nimempenda mkeo, nipe namba yake nimfundishe na utani mwingine mzuri mzuri Kama huo
 
....akili inanituma kuamini hii kitu ni ya kutunga.
.....a real man hawezi fanya utani wa aina hiyo hata siku moja...unless uniambie-you are son of bitch.
Kwamba akiwa "mtoto wa malaya" ndio anaweza kuongea hivyo??
 
Unamtania kwa kumgusa Athari wake wa moyo!. Utakuta ndiye aliyemtoa usichana wake hivyo hawezi msahau
 
Nyumba ni nzuri ikiwa na utani na kufurahi pamoja. Ila jaribu kuuhuheshimu mdomo wako na akili iwe inafanya kazi
 
Back
Top Bottom