Najuta kumtania mke wangu

Najuta kumtania mke wangu

Habari wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo.Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri....!! Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu,Mke wangu yuko jikoni anaandaa Msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi...!!
Mke: Baba Alson

Mimi:Nambie

Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)

Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)

Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!

BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI....!!!
Bado Uncle J anamtombasilililiiiiiii itakua.
 
Piga moyo konde, siku nyngne uwe Na nidhamu..
Kwanza unapata wapi ujasili wa kumtaja mtu alie mgegeda mkeo ..!!
 
Back
Top Bottom