Najuta kumtania mke wangu

Najuta kumtania mke wangu

Habari wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo.Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri....!! Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu,Mke wangu yuko jikoni anaandaa Msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi...!!
Mke: Baba Alson

Mimi:Nambie

Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)

Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)

Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!

BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI....!!!

Ha ha ha pole ila umeyataka mwenyewe
 
Kama unamjua x wake inamana mkuu hukuoa bokra ulikuta washakula kina jonson
 
Dah!...nadhani ningelikua mimi ndonimeambiwa hivyo sasahivi angelua jikoni na mke mwenzie anamuelekeza mpangilio wa mji
 
Na hamu ya kumgegeda itaanza kupotea taratibu
 
Waswahili wanasema anaenza haonekani .....ila anaemaliza ndiyo anaonekana pole mkuu!
 
....akili inanituma kuamini hii kitu ni ya kutunga.
.....a real man hawezi fanya utani wa aina hiyo hata siku moja...unless uniambie-you are son of bitch.
I agree with you kabisa.
 
Limerushwa gizani hilo. Kazi kwako braza, ila ukumbuke tu, ukiwa sio mtani usitanie
 
Mkuu...
Usiende bar bia hazifai
Njoo ule ngada itapunguza stress.
 
Umeyataka mwenyewe na kiranga chako.
Utani gani huo wa kuingiza maex!!
 
Back
Top Bottom