Najuta kumtania mke wangu

Najuta kumtania mke wangu

And please be wise enough to go and ask for forgiveness to your wife and don't repeat that childish behaviour again...if you will act like a mature person your wife will surely be the same... Wacheni izo mambo za past and build what you have atm
 
Habari wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo.Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri....!! Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu,Mke wangu yuko jikoni anaandaa Msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi...!!
Mke: Baba Alson

Mimi:Nambie

Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)

Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)

Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!

BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI....!!!
WANA JF COME ON.. MNAAMINI HIZI STORY ZA KUTUNGA??? HII NI COMEDY TU Kichekesho. KUWENI NA AKILI YA KUJUA MAZINGIRA
 
hicho ndicho ulikuwa unakitaka uliyekamilika hata kulisikia jina lake tu pressure inapanda wewe unamlinganisha na ex wake! Chakula tayari mama Johnson kaivisha maakuli wahi kitapoa , kama nakuona vile!
 
Aisee acha utoto..kwa nini ukumbushie ya nyuma? I am sorry to say this but That was so childish of you and you probably deserved that...
Itakua alikua amepata Ze Spirit of Ze Nesheni
IMG_20170104_221310_948.jpg
 
Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!

Hapo kazungumzia wakati uliyopita.. Kwa maana sasa hivi ni kibamia au?
 
Wala usimpige. Rudi kwa kunyata umtokee kwa nyuma. Ongelea kwenye sikio lake huku ukihema kwa pumzi ndefu. Mwambie jinsi unavyompenda here kama moyo wake bado kauacha kwa Joni.
 
Habari wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo.Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri....!! Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu,Mke wangu yuko jikoni anaandaa Msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi...!!
Mke: Baba Alson

Mimi:Nambie

Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)

Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)

Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!

BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI....!!!

USIMKAWIZE ONGEZA KANYAMOO IFIKE INCH 7

ILA NAWEWE JAMAA UTAKUWA TU POYOYO UNAMJUWA HADI ALIEKUWA ANAMKUNJA WAKATI WA UJANA WAKE ?
 
Unaeamua kumfanya mke/mumeo lazima kuwe na lugha ya kuongea nae, ongea na mkeo/mume wako kama unavyoongea na mzazi wako (weka heshima). Utani unaoweza kumtania pia uwe wa heshima, mkiishi bila boundaries ni rahisi kudharauriana na matokeo yake ni majuto.
ila wife wake ndo kaweka utani wa kijinga. mana huwenda huyo johnson hata hakuwa na bichwa kubwa
 
And please be wise enough to go and ask for forgiveness to your wife and don't repeat that childish behaviour again...if you will act like a mature person your wife will surely be the same... Wacheni izo mambo za past and build what you have atm
Naomba uwe mwalimu wangu wa kiingereza
 
Habari wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo.Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri....!! Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu,Mke wangu yuko jikoni anaandaa Msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi...!!
Mke: Baba Alson

Mimi:Nambie

Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)

Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)

Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!

BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI....!!!
utoto
 
Pole mkuu

Ungejua na wew ungesifia k ya ex wako on the spot,,, ili uone vita ya syria live nyumbani kwako
 
Jibu la mkeo swadakta kabisa. Grow up!
 
Habari wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo.Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri....!! Ilikuwa hivi niko zangu sebuleni nimepumzika baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu,Mke wangu yuko jikoni anaandaa Msosi kwaajili ya jioni ghafla akaniita na mambo yalikuwa hivi...!!
Mke: Baba Alson

Mimi:Nambie

Mke: Hivi ni lini uliniambia tutaenda kumnunulia mahitaji ya shule Alson (Ni mwanetu ambae wanakaribia kufungua shule)

Mimi: Acha akili zako za kusahau sahau si tumetoka kuongea juzi tu hapa ndio maana una bichwa kubwa kama la JOHNSON (huyu johnson alikuwa ni mpenzi wake wa zamani)

Mke: Hahaaaaa kama lake la chini vile pia lilikuwa kubwa na tamu...!!!

BAADA YA MANENO YAKE HAYO YA MWISHO SIKUMJIBU CHOCHOTE NILITOKA ZANGU NJE TARATIBU HUKU NIKISIKIA BADO KICHEKO CHAKE KWA MBALI....!!!
Ha ha ha 0le wake aletae makwazo
 
Umeyatafuta mwenyewe......

Kumjua ex wake haina maana umtajie tajie.....

Kiranga chako komo..... (umesababisha mpaka mkeo akumbuke dudu la ex wake....)

Ukimpoga atakupeleka polisi shauri yako...kesho utakuja na uzi mwingine... (inga
 
Back
Top Bottom