Najuta kumpenda mtoto wa mchungaji

This is true story!

Kipindi naingia mwaka wa pili chuo nilikutana na dada mmoja hivi ambaye nilitokea kumpenda, ilikuwa hivi: Ilikuwa mida ya mchana kama saa 7 au 8, kama sikosei. Tulikuwa na rafiki zangu tukitoka class, so ilikuwa kawaida yetu kwenda lunch pamoja lakini siku hiyo sikuwa najisikia njaa nikawaambia waende mi watanikuta class, washkaji wakakubali wakaniacha.

Nikiwa peke yangu class nikachukuwa vitabu vyangu na kuanza kufanya assignment. Ghafla akatokea dada mmoja ambaye kwa pale chuo sijawahi kumuona, ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona. Akaja moja kwa moja nilipokaa na kunisalimia, baada ya hapo akaomba nimsaidie swali walilopewa class kwao; kwa bahati nzuri lile swali nlikuwa nalijua, nikamwambia anipe kama dakika 15 hivi nilifanye, akakubali na kuniacha nilifanye. Wakati anaondoka nikamuomba namba yake ya simu ili nikimaliza nimstue, akakubali na kuniacha namba ya simu na kuondoka.

Baada ya dakika 15 nikawa nimemaliza so ikabidi nimcheck kwa text kumtaarifu, aka-respond na kuniambia sehemu alipo. Ikabidi nimfuate huko alipo, kweli nikamkuta na kumkuta akiwa katika discussion na fariki zake, nikamwachia akashukuru, nikaondoka.

Baada ya masaa kadhaa kupita akani-text kunipa hi, kiukweli nilishaanga coz sikutegemea kama atanitafuta. Basi tukaendelea kuchat, tukafahamiana vizuri kumbe ndio alikuwa anaanza first year, tuliendelea ku-chat kila siku na tukawa marafiki, na kila anapomaliza vipindi darasani akiwa anasepa lazima anitafute tuonane then nimsindikize kwenye kituo cha daladala.

Wakati siku zinazidi kwenda nikajikuta automatically nampenda. Siku moja wakati tuna-chat ikabidi nimwambie hisia zangu kwake, alikubali.

Siku hiyo nilifurahi sana, mahusiano yetu yaliendelea na kama kawaida yetu kukutana kabla ya vipindi na baada ya vipindi kuisha. Kila mtu alijua relation yetu pale. Siku moja nikaomba sex akanibania, nikajaribu kumbembeleza, wapi! Siku hiyoo ndiyo akaniambia kuwa baba yake ni pastor. Sikuwa surprised nikakubali kwasababu nilimpenda, nikamwambia may be baadaye tukioana itakuwa poa coz nilimuweka kwenye kundi la kuwa wife material, balaa likaanza. Nilimuona mtu ambaye amebadilika, hicho cha kwanza. Pili, pamoja na kuonana naye, ikifika mchana anadai njaa inamuuma. Well, nikaona sio mbaya kumnunulia msosi, mmh nilijuta aisee!

Alichokuwa anafanya anaita na rafiki zake na chakula anataka chips kuku na mayai yake + fruit juice ile ya Azam wakati anajua kiuchumi sikuwa vizuri kivile. Akiishiwa pen sijui na learning materials ni juu yangu, na mzigo nanyimwa. Nikimpigia simu ananijibu hovyo na kuna siku kwenye FB kapost na lijamaa lingine wanakunywa wine, kumuuliza akaniambia ni jamaa yake kitambo.

Kuanzia siku hiyo nilimpotezea sikumtafuta tena, lakini nashangaa now ni miaka kama 5 hivi imepita ananitafuta; ananiambia sijui kanimisi na bla bla kibao na mimi sina hata interest naye.

End of story.

Tatizo ni wewe

rodian,

Hutakiwi kuanza kusubiri kufikiria ndoa kisa umeniyimwa papuchi. Mabahari hatuombagi hata sik moja. Baba, kuwa pastor havina auhusiano na wewe kupewa au kutopewa, ni uzembe sana kukubali kuingizwa chaka. No innocent lady hasa akishaonja...huyo jamaa ndio anamkaza.

Never be a good guy, utakuwa boya tu ladies don’t want a good guy like you were. Eti unaomba papuchi na unaambiwa baba pastor
ahahahaha.Nilitaka ku comment jambo moja hapa ila acha niuchune tu.
 
Bro, inaelekea ulimuhonga vya kutosha.
Tatizo sisi vijana wakiume waki Tanzania hatujiamini na waoga kusema mfano wewe mtoa post mpenzi wako hana agiza vyakula na vinywaji vya ghalama pamoja na marafik zake wewe unakaa kimya tu!!
Ulitakiwa kumwambie ukweli Mimi siwez kumudu kulipia vitu mnavyo hagiza tena kwa sms na hunamwambie mimi naondoka, vijana tukiwa wakimya tunakaatu tunaogopa kuchekwa, tusipo kuwa makini madem watatugeuza fursa, penzi hanapewa mwingine tena
Kwakulazimishwa utasikia baby kesho nakuja lakin jamaa linajibu Usije kesho sitakuwepo, lakin wewe ukiomba unapigwa siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kinachoomumiza mpaka sasa,chips kuku mayai na juice unamind kwa miaka 5,NIMEKUNYOSHEA MIKONO aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima haumie kulisha group sikitu chamchezomchezo, Ukute walikuwa wanakula kidogo, kuku wanabakisha na juice, muhudu anawauliza
Niondoe wao wanajibu ondoa ukirud tuletee fanta na maji makubwa ( take away.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is true story!

Kipindi naingia mwaka wa pili chuo nilikutana na dada mmoja hivi ambaye nilitokea kumpenda, ilikuwa hivi: Ilikuwa mida ya mchana kama saa 7 au 8, kama sikosei. Tulikuwa na rafiki zangu tukitoka class, so ilikuwa kawaida yetu kwenda lunch pamoja lakini siku hiyo sikuwa najisikia njaa nikawaambia waende mi watanikuta class, washkaji wakakubali wakaniacha.

Nikiwa peke yangu class nikachukuwa vitabu vyangu na kuanza kufanya assignment. Ghafla akatokea dada mmoja ambaye kwa pale chuo sijawahi kumuona, ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona. Akaja moja kwa moja nilipokaa na kunisalimia, baada ya hapo akaomba nimsaidie swali walilopewa class kwao; kwa bahati nzuri lile swali nlikuwa nalijua, nikamwambia anipe kama dakika 15 hivi nilifanye, akakubali na kuniacha nilifanye. Wakati anaondoka nikamuomba namba yake ya simu ili nikimaliza nimstue, akakubali na kuniacha namba ya simu na kuondoka.

Baada ya dakika 15 nikawa nimemaliza so ikabidi nimcheck kwa text kumtaarifu, aka-respond na kuniambia sehemu alipo. Ikabidi nimfuate huko alipo, kweli nikamkuta na kumkuta akiwa katika discussion na fariki zake, nikamwachia akashukuru, nikaondoka.

Baada ya masaa kadhaa kupita akani-text kunipa hi, kiukweli nilishaanga coz sikutegemea kama atanitafuta. Basi tukaendelea kuchat, tukafahamiana vizuri kumbe ndio alikuwa anaanza first year, tuliendelea ku-chat kila siku na tukawa marafiki, na kila anapomaliza vipindi darasani akiwa anasepa lazima anitafute tuonane then nimsindikize kwenye kituo cha daladala.

Wakati siku zinazidi kwenda nikajikuta automatically nampenda. Siku moja wakati tuna-chat ikabidi nimwambie hisia zangu kwake, alikubali.

Siku hiyo nilifurahi sana, mahusiano yetu yaliendelea na kama kawaida yetu kukutana kabla ya vipindi na baada ya vipindi kuisha. Kila mtu alijua relation yetu pale. Siku moja nikaomba sex akanibania, nikajaribu kumbembeleza, wapi! Siku hiyoo ndiyo akaniambia kuwa baba yake ni pastor. Sikuwa surprised nikakubali kwasababu nilimpenda, nikamwambia may be baadaye tukioana itakuwa poa coz nilimuweka kwenye kundi la kuwa wife material, balaa likaanza. Nilimuona mtu ambaye amebadilika, hicho cha kwanza. Pili, pamoja na kuonana naye, ikifika mchana anadai njaa inamuuma. Well, nikaona sio mbaya kumnunulia msosi, mmh nilijuta aisee!

Alichokuwa anafanya anaita na rafiki zake na chakula anataka chips kuku na mayai yake + fruit juice ile ya Azam wakati anajua kiuchumi sikuwa vizuri kivile. Akiishiwa pen sijui na learning materials ni juu yangu, na mzigo nanyimwa. Nikimpigia simu ananijibu hovyo na kuna siku kwenye FB kapost na lijamaa lingine wanakunywa wine, kumuuliza akaniambia ni jamaa yake kitambo.

Kuanzia siku hiyo nilimpotezea sikumtafuta tena, lakini nashangaa now ni miaka kama 5 hivi imepita ananitafuta; ananiambia sijui kanimisi na bla bla kibao na mimi sina hata interest naye.

End of story.​
Huyo ilibidi umuite geto umle kimasihara.... Baharia ulikwama wapi? Nahisi hata kiss hujawahi pewa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona matendo yake hayana uhusiano na kuwa mtoto wa mchungaji tabia ni zile zile we ulikuwa wa chuo na wengine walikuwepo kulingana na nafasi alizowapa
 
Kweli mkuu,mimi ishanitokeaga,jamaa alikua anahonga na kulia lia kwel akati mie nabembelezewa papuch..ila wanawake Mungu anawaona
Tatizo sisi vijana wakiume waki Tanzania hatujiamini na waoga kusema mfano wewe mtoa post mpenzi wako hana agiza vyakula na vinywaji vya ghalama pamoja na marafik zake wewe unakaa kimya tu!!
Ulitakiwa kumwambie ukweli Mimi siwez kumudu kulipia vitu mnavyo hagiza tena kwa sms na hunamwambie mimi naondoka, vijana tukiwa wakimya tunakaatu tunaogopa kuchekwa, tusipo kuwa makini madem watatugeuza fursa, penzi hanapewa mwingine tena
Kwakulazimishwa utasikia baby kesho nakuja lakin jamaa linajibu Usije kesho sitakuwepo, lakin wewe ukiomba unapigwa siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisikilize kwa makini

Mtafute Fanya juu chini mfunue ukimaliza mtimue kitandani

Story yako inaonyesha ulikuwa zoba daah ulichunwa mpaka huruma ukute hapo ulikuwa unajinyima ili umu satisfy ila imenigusa kimtindo

Hakikisha unam despise kama yeye alivyokufanya

A sweet revenge

Na Mimi Niko mbioni kulipiza I mean payback time lakini haiusiani na mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sisi vijana wakiume waki Tanzania hatujiamini na waoga kusema mfano wewe mtoa post mpenzi wako hana agiza vyakula na vinywaji vya ghalama pamoja na marafik zake wewe unakaa kimya tu!!
Ulitakiwa kumwambie ukweli Mimi siwez kumudu kulipia vitu mnavyo hagiza tena kwa sms na hunamwambie mimi naondoka, vijana tukiwa wakimya tunakaatu tunaogopa kuchekwa, tusipo kuwa makini madem watatugeuza fursa, penzi hanapewa mwingine tena
Kwakulazimishwa utasikia baby kesho nakuja lakin jamaa linajibu Usije kesho sitakuwepo, lakin wewe ukiomba unapigwa siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli,nimejifunza kitu Apo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom