Tatizo sisi vijana wakiume waki Tanzania hatujiamini na waoga kusema mfano wewe mtoa post mpenzi wako hana agiza vyakula na vinywaji vya ghalama pamoja na marafik zake wewe unakaa kimya tu!!
Ulitakiwa kumwambie ukweli Mimi siwez kumudu kulipia vitu mnavyo hagiza tena kwa sms na hunamwambie mimi naondoka, vijana tukiwa wakimya tunakaatu tunaogopa kuchekwa, tusipo kuwa makini madem watatugeuza fursa, penzi hanapewa mwingine tena
Kwakulazimishwa utasikia baby kesho nakuja lakin jamaa linajibu Usije kesho sitakuwepo, lakin wewe ukiomba unapigwa siasa.
Sent using
Jamii Forums mobile app