Najuta kumpenda mtoto wa mchungaji

Najuta kumpenda mtoto wa mchungaji

Sasa kwa nini usifanye hivi...mvute kiaina halafu akishaingia Kwenye 18 zako kula mzigo halafu mpige chini mazima....kama wewe ni muumini wa Mtandao pendwa sio mbaya ukatumia pia. Kisha mwambie amfuate huyo Jamaa yake aliyekuwa anakunywa naye wine..
[emoji23] Hilo swala nalifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuona boya. Kamwe usikubali kuingia kwenye mahusiano na demu halafu akasema msiduu mpka ndoa, mpaka ujidhihirishe ni bikira. Ila kama keshaga tobolewa, bora upige chini uendelee na harakati zengine. Ukae na demu kwenye mahusiano bila kuduu kwani dadako huyo?

#MaendeleoHayanaChama rodian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom