miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
acha kuuliza maswali ya kijinga wewe sasa unauliza aliyemgonga ili iweje?
Ukisoma hapo hakuna mahala nimesema niliuliza nani alimgonga?! Mie totally niliamini ile list ya watu 3 ya miaka hiyo hivyo hata sikua na shaka nayo, ila jana ndo akafunguka ya wa 4 ambapo hata sikumuuliza hayo ndo hapo nikapigwa na butwaa mpaka sasa aahamini kama nampenda tenaacha kuuliza maswali ya kijinga wewe sasa unauliza aliyemgonga ili iweje?
kwa maelezo yako ulisema ulikuwa unambembeleza ili afunguke zaidi that means wewe ulimuwekea mtego wa kutaka kujua.. usiwe unachokonoa mambo magumu usiyoweza yabebaUkisoma hapo hakuna mahala nimesema niliuliza nani alimgonga?! Mie totally niliamini ile list ya watu 3 ya miaka hiyo hivyo hata sikua na shaka nayo, ila jana ndo akafunguka ya wa 4 ambapo hata sikumuuliza hayo ndo hapo nikapigwa na butwaa mpaka sasa aahamini kama nampenda tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbembeleza ilikua baada ya kutaja huyo mtu ambaye hata sikuwaza kama kuna kitu cha namna hiyo, ndo ikabidi nibembeleze anitajie ukweli tu, nilimwambia anitajie ili awe na amani ya moyo kabisa maana alivyotaja vile akawa analia tu, ila akasema hamna mwingine basi nikabembeleza hadi akakaa sawa ila mie ndo sipo sawakwa maelezo yako ulisema ulikuwa unambembeleza ili afunguke zaidi that means wewe ulimuwekea mtego wa kutaka kujua.. usiwe unachokonoa mambo magumu usiyoweza yabeba
pole mkuu ila usije waza kuendelea kumla jicho basiKumbembeleza ilikua baada ya kutaja huyo mtu ambaye hata sikuwaza kama kuna kitu cha namna hiyo, ndo ikabidi nibembeleze anitajie ukweli tu, nilimwambia anitajie ili awe na amani ya moyo kabisa maana alivyotaja vile akawa analia tu, ila akasema hamna mwingine basi nikabembeleza hadi akakaa sawa ila mie ndo sipo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha hahahahahahaha nacheka ingawa sijaelewa "kumla jicho"pole mkuu ila usije waza kuendelea kumla jicho basi
Sasa unakasirika nini wakati ulikuwa na msururu wa mademu? Mmekutana ngoma droo, nahisi yeye atakuwa amefikisha idadi ya 60Hiyo kitu sijawahi fanya na wala sitakaa nimwambie maana tangu awali nilimdanganya, yeye anajua niliwahi kulala na wanawake 5 ila uhalisia ni zaidi ya 30 so ni kitu ambacho hapaswi kujua hiyo idadi ila bora asingeniambia maana mie niliuliza tu aliwahi kumkisi? Ye akasema kabisa na kugegedwa kitu ambacho sikuwaza kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha mkuu nilidhani ulisema amemla jicho nilipitiwa mkuuHahahahahahaha hahahahahahaha nacheka ingawa sijaelewa "kumla jicho"
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol.... spare my ribs.badala mkae ndani muwaze maendeleo mnakaa kudiscuss uzinzi mliofanya zamani
sasa unaumia kwani ulimkuta bikra??? au hao waliopita wameondoka nayo au wameiacha!??Si kila muda mna discuss maendeleo tu, mtakua maroboti sasa... Kuna muda mnajiachia na mastory ya miaka hiyooo whether kwa kukumbushiana through picha za zamani au hata story tu.. Sasa katika story hizo ndo anaamua kufunguka kitu ambacho hata hukuwazia ndo maumivu nayoyahisi hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ungemuhadithia jinsi ulivokua unapiga game kwa wasichana zako Wa nyuma ngoma droo





