tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
Wakuu mwanzoni nilikuwa mgumu sana kuhama nokia na symbian yao.....
Majuzi nimenunua samsung galaxy ace 2, kila kitu ni burudan..kuanzia application ya jf, camera na speed ya internet
Tatizo hizikai na chaji
Naunga mkono hoja!Mkuu...umepotea njia..., rudi nyumbani' usije ukawa mwanampotevu...
Kumbe ulikuwa Duniani wenzio tuko sayari ya
Mars yaani unagusa tu mambo tele.
Mwana kuna kitu cha iPhone kinatumia IOS ni makini haswa mkuu
Mkuu...umepotea njia..., rudi nyumbani' usije ukawa mwanampotevu...
Ndio unazimaje coz kwa kweli hili suala la charge ni balaa_Kwa sababu ya full internet inarun vitu vingi ndo maana hata iphone haikai na moto kabisa ila unaweza kuzima 3G inakaa na charge sana uwashe tu pindi utakapotaka kuitumia.
Tatizo hizikai na chaji
kwa sababu ya full internet inarun vitu vingi ndo maana hata iphone haikai na moto kabisa ila unaweza kuzima 3g inakaa na charge sana uwashe tu pindi utakapotaka kuitumia.
Dah..!! minatumia kitu cha Tecno N7, ikofasta kwa net na inakaa na jiwe kwa muda mrefu.
Dah..!! minatumia kitu cha Tecno N7, ikofasta kwa net na inakaa na jiwe kwa muda mrefu.
ukiwasha 3G unakaanayo mda gani?
Tumia 2G.