Najuta kuacha kazi

Bila shaka kama ni mumeo wa ndoa jaribu sana kuangalia wapi ulimi ulikuponza .. zen ujiweke sawa na dhani mambo yatakua poa tuu.. wanaume hatujui kupigiana makelele na mwanamke action inatosha
 
Mkuu nimefanya hivi ili nipate relief..sijawahi mwambia mtu yeyote changamoto hii niliyonayo na wala sitapenda,nimeona bora niweke humu coz i will stay anonymous..thank you anyways
 
Kuna kitu nimekutumia PM, ingawa naona kama umeifunga PM yako.
Mkuu, nakushauri ungefunguwa PM yako ili upate msaada kwa hali hii yenye unaipitia. Na ikiwa utaona kama panatokea mtu mwenye kukuletea yasio kupendeza huko PM, basi nivyema ukam-block.

Kwanini usitoe maoni yako hapa

Ili hata wasioomba msaada hapa ila wanashida kama yake wasaidike
 
Bila shaka kama ni mumeo wa ndoa jaribu sana kuangalia wapi ulimi ulikuponza .. zen ujiweke sawa na dhani mambo yatakua poa tuu.. wanaume hatujui kupigiana makelele na mwanamke action inatosha
May be,let me dig in though mimi huwa siyo mtu wa makelele sana sana nikiudhiwa huwa nalia tu halafu basi
 
Mkuu nimefanya hivi ili nipate relief..sijawahi mwambia mtu yeyote changamoto hii niliyonayo na wala sitapenda,nimeona bora niweke humu coz i will stay anonymous..thank you anyways
Pole kwa changoto unazo pitia, na nikutake tu uwe makini na usimamie kile unacho amini kama kitakupa unafuu.
Na... ukisha ipata hiyo relief baada ya kusemea hapa, what's next...??
 
Pole kwa changoto unazo pitia, na nikutake tu uwe makini na usimamie kile unacho amini kama kitakupa unafuu.
Na... ukisha ipata hiyo relief baada ya kusemea hapa, what's next...??

I will talk to him politely for solution
 
ongea nae taratibu mueleweshe A to Z huenda akajifikiria kama hatakua mbinafsi
 
Aiseee pole sana Ila nadhan ni vyema ukamkalisha umweleze hayo ukiwa serious kabisa
Muulize anajisikiaje akiona wazaz wako wanaishi kwa taabu?
 
Sasa mke wangu unaenda kazini mwisho wa mwezi unalipwa laki tatu wakati mshahara wangu milioni nne na ushehe niendelee kumuacha afanye hiyo kazi nina wazimu???

Tuliza akili mama nitakua nakulipa laki tano kila mwezi kaa hapa nyumbani
 
Yaani hakuna namna nyingine ya kuweza kurudi kazini? Au ukapata kazi sehemu nyingine?

Wanaume ni watu wajanja sana, hii siri nawapeni wanawake Usikubali kushawishika na mmeo/mpenzi wako kuacha kazi yaani ukikubali atakunyanyasa hatakusikiliza atakupuuza hadi akili ikukae sawa....

Hapo mwanaume tayari amesha kufanya koloni lake utapata tabu sana.... Ulipo kubali kuacha kazi ulifanya makosa makubwa sana.....
 
Maneno ya kusikia baada ya kupendana huwa so ya kutilia mkazo pole huenda mtaji alikuahidi mtaji wa shida so mtaji wa hela
 
mwambie mwemzio
 
Doh!. Pole sana. Utakua kiaina unamuogopa mmeo. Means sio rafikiako kiviiile..
Me siko kune ndoa. Ushauri wangu unaweza kua ni wa ki-wapenzi zaidi.. ila pole sana

May be,but ni rafiki yangu ila naona kama yuko close sana na wifi yangu kuliko alivyo na mimi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…