Najuaje location ya mtu ambae hataki kupokea simu yangu

Najuaje location ya mtu ambae hataki kupokea simu yangu

Kuna websites na apps nyingi tuu naweza kukutumia link but ni za kulipia, sio tuu kuona location yake, but unaweza soma text zake za whatsapp na telegram, unaweza sikia calls zake, unaweza kuona mambo yake yote.

Ndo huwaga natumiaga kuwa monitor watu wangu wa karibu.
Mkuu, serikali ikikudaba unitunia VPN itakusababishia matatizo. Wachana na hiyo kitu ya kusambaza link

Bajaj yake nitamletea, awe mvumilivu tu
 
Hiyo kesi ya jinai.
Kama yuko hewani polisi watamshika ila wao watanufaika zaidi na wewe utapata bajaji yako .
Jambo jingini nahisi ulimpa kienyeji sana, Dunia imebadilika.
Angekuja na mdhamini mwenye mali isiyohamishika
 
Kuna websites na apps nyingi tuu naweza kukutumia link but ni za kulipia, sio tuu kuona location yake, but unaweza soma text zake za whatsapp na telegram, unaweza sikia calls zake, unaweza kuona mambo yake yote.

Ndo huwaga natumiaga kuwa monitor watu wangu wa karibu.
Naona unamseti mtu ajae umuumize kwa mara ya pili na wewe.
 
MBONA RAHISI SANA KUMPATA HUYO...WAPE HELA POLISI KAMA MAMA YAKE...ALAFU TAARIFA ZA KUKAMATWA KWA MAMA YAKE ZISAMBAZWE KWA NDUGU ZAKE WENGINE...ATARUDI TU KUMKOMBOA MAMA YAKE. ASIPORUDI PIGA MNADA KILA KITU CHA MAMA YAKE CHENYE THAMANI YA BAJAJ YAKO...ATARUDI TU.

HIVI UNAJUA WIZI UNAKUNYIMA AMANI YA MAISHA...SASA HIYO BAJAJ UTAKUWA NA RAHA NAYO VIPI SASA...UTAISHI KAMA DIG DIGI...YAANI WIZI NI KUJIDANGANYA TU ILA NI HAMNA KITU.
 
Back
Top Bottom