Jogoo mbegu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 824
- 3,459
Mkuu huwezi amini, ila nimesaidia wengi kwa huu ulozi wangu!!
Sema nami ataleta hiyo bajaj kabeba mgongoni
Sema nami ataleta hiyo bajaj kabeba mgongoni
Cell Phone Monitoring Software - Android and iPhone | Auto ForwardKaka na ntumie link maana
Mkuu hii ipo play store?? Na Ni ya kutafutia location tu au kutrack maongezi na charts??
Ingia kituo cha polisi kitengo cha Cyber watakutafutia chap kwa haraka
Pole sana mkuu.
Biashara ya bajaji na bodaboda iwe ni day au mkataba kama mmiliki wa chombo hauko makini utakuwa mtu wa kulialia na kupata hasara daily.
Hapo kama mliandikishiana mkataba watie ndani wadhamini wake.
Hivi inawezekana kweli ukajua location ya mtu Kama hajakutumia yeye?? Kwa security ya Sasa kwenye mawasiliano naona Ni Jambo gumu, labda kwa polisi wa kitengo Cha cyber, hizi kampuni za simu na masuala ya mitandao wanajali Sana privacy za wateja wao, sidhan Kama kuhack meseji sijui voice linaweza kuwa jepesi hivyo kwa watu Kama WhatsApp au telegram. Nakushauri pamoja na watu kukutumia link, lkn pia hii Ni polisi case, unatakiwa ukatoe taarifa kwa usalama wako na chombo chako

Wewe ingia kituoni toa maelezo wao watamaliza mchezo mzima huyo mama mdhamini atatiwa ndani na simu ya mwanae watajua alipo na atadakwa,Asante kwa ushauri kaka
Kama mdhamini yupo mpeleke police, me Kuna dogo nishawahi kumpa bajaji nae akajidai kukimbia na akazima simu zote kumfata mdhamini tena alikuwa mama yake nae akawa upande wa mtoto wake eti hafahamu yupo wapi Nilienda police nikawaelezea kesho yake asubuhi walimkamata yule mama haikufika jioni dogo akaleta Bajaj
Nope, we click hio link itakupeleka kweny website husika alaf unaweza uka download.Mkuu hii ipo play store?? Na Ni ya kutafutia location tu au kutrack maongezi na charts??
Habari, Vp ushaipata bajaji yako?.Kuna mtu nlimpa Bajaj ya mzigo kwa mkataba na amekimbia nayo hajulikani alipo, nikipiga simu hapokei na muda mwingne haipatikani kabisa. Ntawezaje kumpata mtu kama huyu..?
Unatakiwa umuweke ndani huyo mama yake mazazi atakuja mwenyewe huyo dogo. Biashara haitaki huruma.Plate number naijua, na mzamini wake ni mama yake mzazi
Mkuu hii ipo kweli?Kuna websites na apps nyingi tuu naweza kukutumia link but ni za kulipia, sio tuu kuona location yake, but unaweza soma text zake za whatsapp na telegram, unaweza sikia calls zake, unaweza kuona mambo yake yote.
Ndo huwaga natumiaga kuwa monitor watu wangu wa karibu.
Kamata mdhamini . Benki na vi microfinance vingekua vinacheka wabongo tungeshawafilisi. Vaa wa mbuzi babuUnatakiwa umuweke ndani huyo mama yake mazazi atakuja mwenyewe huyo dogo. Biashara haitaki huruma.
Kamata mdhamini . Benki na vi microfinance vingekua vinacheka wabongo tungeshawafilisi. Vaa wa mbuzi babu
Una zani vidukuzi hakuna?Telegram walitoa Dola million Moja kwa yeyote anayeweza kuhack akaunti ya mwenzake na kusoma texts zake, kijana ulikua wapi?