Najuaje location ya mtu ambae hataki kupokea simu yangu

Najuaje location ya mtu ambae hataki kupokea simu yangu

Kuna websites na apps nyingi tuu naweza kukutumia link but ni za kulipia, sio tuu kuona location yake, but unaweza soma text zake za whatsapp na telegram, unaweza sikia calls zake, unaweza kuona mambo yake yote.

Ndo huwaga natumiaga kuwa monitor watu wangu wa karibu.
Bila kuishika simu yake?
 
Una zani vidukuzi hakuna?

Una zani vidukuzi vina fanyika wapi?

Watu wana dukua vizuri tu!

Kuna apps kuna sites ukitembelea una kutana na vidukuzi, wana weza kupata wanavyo hitaji kwa wewe kutembelea tu hizo sites una kuwa umewapa uhuru wa kukupata

Kuna links ukitumiwa na kubofya tu basi umeisha!

Udukuzi upo kwa namna nyingi sana kama hauna muunganiko na sites au apps yoyote una app moja tu ya telegram au whatsapp na hautembelei sites mbalimbali basi wewe upo salama, ila kama ni mtu wa mitandao umeisha usizani upo salama salmini

Kumdukua Telegram OP sio rahisi kwa kuwa wana chukua taadhari zote ku linda ofisi zao ila kumdukua mtumiaji nirahisi sana kwa kuwa hachukui taadhari yoyote

Uki ambiwa upo salama ina maana ni pamoja na wewe kuchukua taadhari, kuna ofisi nyingi huwa hawataki vifaa vyao vya ofisi utumie kwa matumizi binafsi labda umetembelea sites mbalimbali nk... wao ni kwa matumizi yao ya ofisi tu, kwa nini ndio taadhari zenyewe zidi ya kinacho weza kutokea yani shambulizi la kimtandap
Acha maneno mengi,,telegram wametoa ofa mezani Dola million 1 ukidukua mtumiaji wa telegram, sasa blah blah za Nini? Mbona mpaka Leo hakuna aliyeweza? Watu hawataki pesa?
 
Kuna mtu nlimpa Bajaj ya mzigo kwa mkataba na amekimbia nayo hajulikani alipo, nikipiga simu hapokei na muda mwingne haipatikani kabisa. Ntawezaje kumpata mtu kama huyu..?
Vijana wa siku hizi wana shida sana na ajira lakini ukimpa kazi haya ndio malipo yao. Pole sana Mkuu. Hawapendi Kazi.

Utasikia na nyimbo zao za " Bora ni Enjoy"

Wanahisi utainjoy bila pesa.
 
Kamata mdhamini . Benki na vi microfinance vingekua vinacheka wabongo tungeshawafilisi. Vaa wa mbuzi babu
Microfinance mfano wa pesa x ambao watu kila siku wanaandika uzi kwamba wamekopa na hawalipi mbo a wanatapeliwa kila uchao hizo microfinance mkuu na hawajaweza kukamata wahusika ?
 
Hivi inawezekana kweli ukajua location ya mtu Kama hajakutumia yeye?? Kwa security ya Sasa kwenye mawasiliano naona Ni Jambo gumu, labda kwa polisi wa kitengo Cha cyber, hizi kampuni za simu na masuala ya mitandao wanajali Sana privacy za wateja wao, sidhan Kama kuhack meseji sijui voice linaweza kuwa jepesi hivyo kwa watu Kama WhatsApp au telegram. Nakushauri pamoja na watu kukutumia link, lkn pia hii Ni polisi case, unatakiwa ukatoe taarifa kwa usalama wako na chombo chako
Walishindwa kwenye Kesi ya Ugaidi ya Mbowe.

Sio rahisi kweli.
 
Hii mbinu atamkamata leo leo, tena akipata Malaya pisi Kali amlipe hela kazi inaisha leo leo.
Unafanya mambo ya mikataba hakikisha yupo mdhamini ambae anaweza kukulipa, kama ulimpa babaji na una ushahidi juu ya hilo nenda karipoti polic , utabata msaada mzuli sana kwa sababu cm bado inaita,

Njia ya pili ni tafuta mwamke ,kisha ampgie cm kwa namba ngeni, jamaa akipokea ajifanye anamtafuta mtu fulani ktk mazingila ya kuwa umekosea namba sio mm unatakiwa umuulize kwanza ww upo wapi mm nilikuwa ninamtafuta fulani , baada ya mazungumzo hayo utakuwa umepata mwanga wa wapi pa kuanzia
 
Hivi inawezekana kweli ukajua location ya mtu Kama hajakutumia yeye?? Kwa security ya Sasa kwenye mawasiliano naona Ni Jambo gumu, labda kwa polisi wa kitengo Cha cyber, hizi kampuni za simu na masuala ya mitandao wanajali Sana privacy za wateja wao, sidhan Kama kuhack meseji sijui voice linaweza kuwa jepesi hivyo kwa watu Kama WhatsApp au telegram. Nakushauri pamoja na watu kukutumia link, lkn pia hii Ni polisi case, unatakiwa ukatoe taarifa kwa usalama wako na chombo chako
Sasa kama mtu namba yake ipo hewan unashindwaje kujua location yake mkuu ? Labda azime simu aitupe aanze na simu nyingine
 
Hakuna aliyetoboa ndo maana namshangaa huyu jamaa anavyosema anaweza kuhack tele na Whatsapp za mtu mwingine...

Hawa jamaa mpaka wanaandika end to end encryption ujue ki security wamejipanga haswa...
Fafanua end to end encryption mkuu
 
Fafanua end to end encryption mkuu
Hapo wanamaanisha mawasiliano ni baina ya watu wawili tu mnaochat, au kama ni group ni nyinyi tu hakuna mtu wa nje anayeweza Kuona mnachoongea.... sio network provider, telecom provider au hackers wanaweza Kuona mnachoongea

Ndo maana walitoa dau kubwa kwa mtu yeyote kuhack hii 'end to end encryption' mpaka Leo watu wanabwela...
 
Hii ikoje mkuu
Yaan mzee hizo apps(ambazo nishawahi kuzitumia mm) zinakuwezesha kuona mambo ambayo mtu anafanya kweny simu yake, chats, calls, website search history, hadi GPS location, ni za kulipia, lakini unalipia mara moja tuu na hulipii tena, unahitaji namba ya simu tuu ya mtu unayetaka kumchunguza
 
Hapo wanamaanisha mawasiliano ni baina ya watu wawili tu mnaochat, au kama ni group ni nyinyi tu hakuna mtu wa nje anayeweza Kuona mnachoongea.... sio network provider, telecom provider au hackers wanaweza Kuona mnachoongea

Ndo maana walitoa dau kubwa kwa mtu yeyote kuhack hii 'end to end encryption' mpaka Leo watu wanabwela...
Basi telegram n sehem salama sana kwa usalama wa taarifa
 
Basi telegram n sehem salama sana kwa usalama wa taarifa
Ndo maana watu wakubwa wote wanatumia telegram kuwasiliana kwa Siri, hata mbowe aliwahi kukiri kutumia telegram kwa maongezi confidential.....

Hizi sms za kawaida, ukienda Voda,tigo,Airtel wanakuprintia mkeka wako wa mwaka mzima
 
Microfinance mfano wa pesa x ambao watu kila siku wanaandika uzi kwamba wamekopa na hawalipi mbo a wanatapeliwa kila uchao hizo microfinance mkuu na hawajaweza kukamata wahusika ?
Achana na hizo za online hazina dhamana wala mdhamini jiachangaje kwa kina Maboto, Brac , finca , uone balaa lake
 
Telegram walitoa Dola million Moja kwa yeyote anayeweza kuhack akaunti ya mwenzake na kusoma texts zake, kijana ulikua wapi?
Hayu kwa hili amedanganya kwa sababu ili ufanye hivi mpaka uwe na simu ya mhusika
 
Back
Top Bottom