Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,277
Najua basi, sijui hata hao watu ni kina nani.
Kama na wewe hawajui kuna uwezekano wakawaSijui kwa kweli hata mimi sijui kinachosemwa hapa.
Kwani Mabeste ni nani?
Kama na wewe hawajui kuna uwezekano wakawa
1. Bongo movies
2. Taarab
3.Ebitoke style team
Anyways maisha mafupi kuna sababu ya kupoteza muda kuwajua?...
Hii thread nimegundua ni ya ufukunyuku na umbea.
Ngoja nisepe kumamae
Kama ni wanamuziki si waimbe tu hiyo story kama yule Mluguru.Kama na wewe hawajui kuna uwezekano wakawa
1. Bongo movies
2. Taarab
3.Ebitoke style team
Anyways maisha mafupi kuna sababu ya kupoteza muda kuwajua?...
Hii thread nimegundua ni ya ufukunyuku na umbea.
Ngoja nisepe kumamae
Astaghafirulilah.... hata wewe Mrs Van shemeji kwa best wangu Van? Hata wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio maana jana uliambiwa umri wako na matendo tofauti
Oh nlisahau... Bongo fleva?Kama ni wanamuziki si waimbe tu hiyo story kama yule Mluguru.
Astaghafirulilah.... hata wewe Mrs Van shemeji kwa best wangu Van? Hata wewe?
Nikiongea na Van utakuwa historia bi shemeji... OhooooHapana semeji nimekutania tuuuuuu
Yaani hapo ndo alipobugi na kufanya yote aliyofanyiwa na mmewe kuwa hayana nguvuDah...wanaume tumepigwa 3-0;sijaona kosa la dada yetu aisee...japo kama mke alitakiwa afe na tai shingoni....
Pia kitendo cha yeye kutembea na jamaa aliyekuwa cycle moja na mmewe...kaonekana boya kinoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother, unaleta habari kama imetokea nyumbani kwako! Unadhani sote tunazijua hizo habari za Mabeste?Je maoni yako ni yepi? Je ni sawa alichokifanya mke au ni haki alichokifanya Mme kwa mkewe
Ebu comment bila Mihemko
Nimejikuta natetemeka.Mke kaomba talaka halafu kaenda kutembea na rafiki wa aliekua mmewe
na hiyo avatar yako inavyong'aa nilidhani wewe ni manzi.Najua basi, sijui hata hao watu ni kina nani.
Nikiongea na Van utakuwa historia bi shemeji... Ohoooo