be unique
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,381
- 2,293
Mwanamke malaya tu,kwanza hana shukrani.
Mwana katoa mtonyo wote mpaka kuwaomba watanzania hili amtibu mke wake kipindi anaumwa.
Leo mwanamke kamkimbia kisa kipato.
Basi tuchukulie sawa,lakini kwanini aende kutoka na rafiki wa mume wake tena hadi familia ya rafiki yake walivyo wanafiki wamesapoti mtoto wao kumchukulia rafiki yake mke kama si laana ya ukoo hiyo ni nini?