Najua sio wote wabaya lakini nawachukia wanaume!

Ndeonasiae

Senior Member
Aug 15, 2011
102
49
Only after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya mtu kumtenda hivi mke wake! why? why? why?

sipati jibu lakini ndio nazidi kuwachukia sana wanaume, sirudi nyuma hata kidogo.
 
sio fair kuwachukua kwa kosa la mtu mmnoja; ingawa ni % kubwa ya wanaume au hawaeliwi commitment za wedLOCK au wanaelewa lkn hawataki kufuata (ushahidi ni post nyingi za humu)

Kikubwa umeelewa thamani yako na kuamua kuput stop to that ndoa, waweza pata mwingine bora zaidi so don't give up on love; ingawa u have to be cautios ili usiwe victim wa mara kwa mara.
 
Only after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya mtu kumtenda hivi mke wake! why? why? why?

sipati jibu lakini ndio nazidi kuwachukia sana wanaume, sirudi nyuma hata kidogo.

Msiwategemee wanaume pekee kudumisha ndoa, mnao wajibu huo pia!

Unapoona mumeo anakukosea fanya jitihada muyazungumze (hata ikibidi kwa kuwashirikisha viongozi wenu wa kiimani na ndugu wa pande zote mbili) na kuwekana sawa.
 
Tupinge mpendwa kama hutarudi nyuma.

Usikamie sana aisee, najua how u feel now ila jipe mataimu tu yataisha na utakuja kupendana again tena usishangae ukapendana na yule yule!

Pole sana kwa yaliyokusibu, cha msingi kwa sasa ni kujipa muda wa kuangalia maisha yako kwanza. Maishani hivyo vitu hutokea sana tu na wewe si wa kwanza wala hutakuwa wa mwisho na wala sio kwamba wewe ni mdhaifu hadi yakukute haya isipokuwa mumeo ndio mdhaifu. Kwanini unaumia roho wakati kiukweli hakuna kosa ulilofanya ila ni mumeo ndio kachemka? Wewe uko clean basi baki na furaha yako please, usiumie kabisa acha yeye aumie maana ndio amekosea eti.

La mwisho tu nakuomba usichukie wanaume wote sababu ya utumbo wa myu mmoja, watu hawafanani my dear, wapo walio wasafi kama theruji, Just relax na uchukulie ni ajali tu imetokea bahati mbaya imehusisha maisha yako basi.

Dont forget 'No matter what the situation is, itapita tu'...................
 
Msiwategemee wanaume pekee kudumisha ndoa, mnao wajibu huo pia!

Unapoona mumeo anakukosea fanya jitihada muyazungumze (hata ikibidi kwa kuwashirikisha viongozi wenu wa kiimani na ndugu wa pande zote mbili) na kuwekana sawa.

Hivi wewe mpaka wanafikia kuachana kwa akili zako hawajawahi kuzungumza????!!!!!daahhh yani majibu menhgine bwana.....
Dada pole sana kwa yaliokukuta,usigeuke nyuma songa mbele sana tuuuu,hawa wajinga ukimpa nafasi ya kurudiana ndio anakutenda zaidi......yalinikuta. Ila kwakweli namshukuru Mungu sanaaaaaaa bora niisiwe na mume kuliko kuwa na mume halafu sina raha mpaka mtu unajifikiria kujiua kisa binadamu mwenzako. Nakuomba uwe strong na uwe happy maana ukiwa miserable ndo wanafurahia wenzio anaona amekuweza.
 
Mama Tuli taratibu hapo kwenye red! Du! kweli umetuchoka aisee.............Mungu akubariki lakini
 
Pole my dia, just be strong na zaidi huu ni muda wa kuwa karibu na Mungu wako, and I am telling you atakupa faraja kubwa na soon utasahau yote yaliyokupata. Then nakuomba wasamehe woooooooooote kuanzia huyo mumeo na hao waliojua mabaya ya mumeo wasikwambie. Muombe Mungu akuondolee hasira juu yao na hata kama maishani utakutana nao usiwe na kinyongo nao. Najua ni ngumu sana tena sana ktk hali kama hiyo kumsaehe mtu ila with God everything will be simple.
ALL IN ALL KILA MMOJA KWA WAKATI WAKE ATALIPA KWA ALICHOKUFANYIA, na nakuhakikishia kila atakayekuwa analipa utamuona. Pole sana ila usife moyo.
 
wanaume wanachosha na wanazeesha pole dada maisha ni kusonga mbelepole kwa waliokufanyia unafiki
 
Pole mpenzi, ya kawaida hayo baada ya muda utazoea na hutowachukia bali wakija na uongo wao utakuwa unawaangalia na kuwacheka tu.
 
I wish nisikilize na upande wa pili wa huyo mwanaume anayelalamikiwa so far it's only one side of the coin.
 
Pole sana ndiyo maisha yalivyo.Kama walivyokushauri wengine usife moyo na wala usikae ukajilaumu kwa yaliyotokea.Samehe kwani si wanaume wote ni wakorofi kuna wastaarabu sana ingawa ni wachache.
 
wanaume wanachosha na wanazeesha pole dada maisha ni kusonga mbelepole kwa waliokufanyia unafiki

hata wanawake wanazeesha pia........ usawa ndiyo unawasumbua. kila kitu usawa yaana kama ingelikuwa inawezekana mngelituambia usawa hata kubeba mimba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom