Najua sio wote wabaya lakini nawachukia wanaume!

Only after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya mtu kumtenda hivi mke wake! why? why? why?

sipati jibu lakini ndio nazidi kuwachukia sana wanaume, sirudi nyuma hata kidogo.

Auntie una uhakika wewe uko perfect?? God forbide!
 
Ila ungejua upande wa pili,nipo ninaeamini kuwa wanawake ni viumbe waliokosea wakawa hapa duniani,hawastahili kuwepo hapa.Wana mambo ya ajabu!Sijui kwa jibu langu litakufundisha nini!

Huu sasa uonevu wa waziwazi kabisa!! U always undermind the ideas of women! Sorry to say that u are living under the umbrella of something like hatred!
 
Only after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya mtu kumtenda hivi mke wake! why? why? why?

sipati jibu lakini ndio nazidi kuwachukia sana wanaume, sirudi nyuma hata kidogo.
Kuwachukia wanaume kwa namna hii ni dalili kubwa sana ya USAGAJI au USAGWAJI
 
umeondoka umeacha nyumba yako, ulijua unamwachia nani?pole yako. but wanaume wanawapendeni sana.angalia kwenye daladala wanalipa wao,bar wanalipa wao,guest wanalipa wao,akukute njiani anakupa lifti.munataka mupendejwe?mia
 
Siwezi kukusapoti haaaata kidogo kwa kuwa siyajui maisha yako na huyo aliyekufanyia hivyo. Kuna tabia ya wanawake kujiliza just to win public sympathy toka kwa watu wasiofikiri mara mbili. Kila tatizo ktk mahusiano linapotokea huwa kila mmoja wenua ana mchango wake mpk mkafikia hapo mlikofika. Na the way nawajua wanawake, kuna kitu utakuwa ulifanya na yeye akakutatia tamaa, hilo la kwanza. Pili, what if hivyo ndivyo alivyo na tangua awali ulimjua ila ukaenda kwako kwa tamaa ya vile anavyomiliki sasa leo yamekukuta ndio unajinadi kuwachukia wanaume. 'Nakuhakikishia siku ukiwa karibu yangu, utafuta hiyo kauli ya kuwachukia wanaume wote'

Ngoja nikwambieni kwa nini siwaamini wanawake: Nina rafiki yangu wa kike ambaye ana wapenzi kama 6 hivi tofauti wakiwamo wazee wenye ndoa zao. Ila kati ya hao yupo mmoja ambaye ni kijana anafanya kazi kwenye gazeti fulani la serikali kaofisi ka pale samora ambaye yeye kwa ukweli kapendwa kiukweli na Razia. Mimi kwa kutokupenda ufukunyuku wa namna ile nikakaeleza kale kajamaa juu ya Razia na tabia yake, na kwa kuwa ni kasomi kakachunguza na kalinielewa. Hakakupoteza muda kumwambia Razia kitu, kalichofanya ni kutafuta 'demu' mwingine. Siku Razia alipokuja kujua, tulikuwa kwenye taxi tunaenda home jioni tumetoka job. Huwezi amini jinsi mtoto wa kike alivyolowanisha viti vya taxi ya watu kwa machozi. Kwa ukweli sijawahi kushangaa kama siku ile, sikuwahi kukaa nikawaza kuwa Razia naye anaweza kuwa na wivu kwa jinsi alivyo na rundo la wanaume. Nilicheka mpk dreva taxi akatishia kusitisha huduma kwa maana Razia analia, mimi nacheka huku mwenzetu mwingine ambaye naye ni wa kike akimbebembeleza bila mafanikio.

Kwa hiyo ndugu zangu hawa wanawake na visa vya kutendwa nao muwachukulie kwa tahadhari. Hakuna nyoka mbaya kama wa kike
Ahsante sana kaka.Watu wanapenda sana kulaumu upande mmoja na ku-judge watu collectively.
 
Huu sasa uonevu wa waziwazi kabisa!! U always undermind the ideas of women! Sorry to say that u are living under the umbrella of something like hatred!

dont gues! Ndio hali halisi, the guy need psychological healing cuz jana kaweka post anaexpres hatred toward his mama though it wasnt direct!
 
Wakinadada hapo mnatuonea,na sisi tukiamua kuanika madudu tuliyofanyiwa itakuwa ugomvi humu ndani....kipindi kile upo naye ungeambiwa uchafu wake usingeamini mamaa hiyo ndo nature ya mapenzi bali ungehisi watu wanakuonea wivu ndo maana waliuchuna mpaka mlivyoachana
 
Only after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya mtu kumtenda hivi mke wake! why? why? why?

sipati jibu lakini ndio nazidi kuwachukia sana wanaume, sirudi nyuma hata kidogo.

Dada vipi, raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa na usiishi kwa ajili ya mtu ishi kwa ajili yako. Make a u turn and start a new life, laki si pesa million mbwembwe, fanya kazi tafuta pesa acha kuwaza wanaume stop hating for isnt good for your health.

.
 
dont gues! Ndio hali halisi, the guy need psychological healing cuz jana kaweka post anaexpres hatred toward his mama though it wasnt direct!

Sure, nashukuru umenisaidia mpenzi. Natumai hiyo psychological healing siku moja itamneemesha!! Unajua kuna watu wako affected kisaikolojia na utawajua tu kwa vi-theories wanavojaribu kuvicreate!!!
 
Nadhani bado haujafundwa ww. Ushauri wa bure kwako ni kwamba ukitaka kudumu kwenye mahusiano basi sikuzote penda mabaya yote ya mwenziwako.
 
kama ni mumeo na mmeishi si pungufu ya miaka minne ukiondoka imekula kwako , huo ni mtego wa adui(shetani) ; maandiko yanasema
". . . watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ".

nasema hivi kwanza adui hapendi familia zenye utulivu na amani kwani yeye amekuja kuharibu , pili mafanikio yako yapo hapo kwa mumeo na mimi nakuahidi kama huta rejea hata kama una kazi nzuri au biashara nzuri yenye faida kiasi gani .. vyote hivyo hatimaye hutakuwa na chakuonesha kwa kifupi utakufa masikini .

Deliverance ndio ukombozi wa familia yako .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom