kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Nimeona Nchi kama Kenya na Uganda wamepewa mikopo na IMF kutokana na janga hili la covid 19. Sie Serikali yetu haikutaka kwa sababu naamini ina uwezo mzuri.
Kwa vile basi kuna waalimu hawajapata mshahara kutokana na taasisi za binafsi za elimu (shule na vyuo) kufungwa na wangependa kukopa ili warejeshe baadae,basi serikali ingewakopesha ili waweze kulipa walimu wao. Kwa nchi ya Kenya Serikali imeamua kuwalipa yenyewe walimu wa shule binafsi.
Naamini hakuna kiongozi atakayefurahia kuona walimu wa shule binafsi wakidhalilika kwa kukosa mshahara.
Sent using Jamii Forums mobile app