Najua Serikali yangu ina pesa ya kutosha, iwakopeshe tu wamiliki wa taasisi za elimu wawalipe waalimu wao

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,651
2,000
Nimeona Nchi kama Kenya na Uganda wamepewa mikopo na IMF kutokana na janga hili la covid 19. Sie Serikali yetu haikutaka kwa sababu naamini ina uwezo mzuri.

Kwa vile basi kuna waalimu hawajapata mshahara kutokana na taasisi za binafsi za elimu (shule na vyuo) kufungwa na wangependa kukopa ili warejeshe baadae,basi serikali ingewakopesha ili waweze kulipa walimu wao. Kwa nchi ya Kenya Serikali imeamua kuwalipa yenyewe walimu wa shule binafsi.

Naamini hakuna kiongozi atakayefurahia kuona walimu wa shule binafsi wakidhalilika kwa kukosa mshahara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Akili 2

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
690
1,000
Serikali takatifu ya CCM ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya salary za hao walimu,
Walimu wa pravate nao wajiajili tuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom