Najivunia kuzaliwa wa kike

thank you very much for your positive information and insight. but the position is the same. men will seek to sweat and women will give birth in pain ... so why do we look for passion and still is not our responsibility? hhahaahaaa
 
Aah machozi yananilenga lenga yaani hamna huruma kiasi hicho? Yaani tunabeba zege mpaka ghorofa ya 9 afu malipo kiduchu bado tukija kwenu kutaka faraja ya dk 10 na nusu bado mnaona haitoshi mkuu eti lituchome lituchome

Hakuna kuonewa huruma ..
 
thank you very much for your positive information and insight. but the position is the same. men will seek to sweat and women will give birth in pain ... so why do we look for passion and still is not our responsibility? hhahaahaaa

Women shall keep on being dependents on men deliverance, no matter how. In the meantime, we shall keep on making sure that you with our children are well kkept.

Therefore, 'najivunia kuzaliwa wa kike - raha tupu' is the mith...
 
Very proud kwa kweli..
Na hao wenyew wanajua but wanabisha tuu
 
atoto na mito mkujege na huku watu wanalia lia

Mimi hii naikubali kabisa japo inategemea na girl mwenyewe, kuna mdada nilisoma form 4 alikuwa mkali balaa, akapata 0 national exams, khaaa baada ya miezi 6 kaolewa na kibosile hatari, maisha yake yako juu hadi leo hii anakula kwa mrija tu.
Mwanamke ana opportunities nyingi akijitambua
 
Lakini kutegemea hela za wanaume nayo tabu, ukimwambia huku chini kunauma anakwambia tanua mdomo kama hutaki nenda kwenu.
 
Kweli kabisa my hapa watu wanabisha kumbe ukweli wanao rohoni hahahaaa...
Mapovu yamewatokajeee
 
Duh ila kuzaa sio kazi nyepesi nayo maana ukishazaa tena huwi sawa tena na wa awali

Ukizaa bado unakuwa kigoli tena unakuwa na opportunity nyingi za pesa... hujui siku hizi mke wa mtu dili
 
Lakini kutegemea hela za wanaume nayo tabu, ukimwambia huku chini kunauma anakwambia tanua mdomo kama hutaki nenda kwenu.

Hahahaaaa kwa vizinga nitakavyokuwa nimempiga hatodhubutu ata kunifukuza.
Maana akinifukuza tuu naenda naanzisha biashara zangu nakuwa na mapesa naoa tuu wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…