Ka unapokea hela we ni malaya tu, hamna namna nyingine na kuremba.
Wala tu hatutawaliwi na kuolewa ni kitu cha baadae sana lazma kula maisha kwanza na good time za kutosha life is too short.
Money first wala mchicha sichumishwi kizembe.

cute b njoo nikupe mtajiHahahaaa ujana huu tunautumia vizuri tunawachuna tunafungua mitaji na nyumba tunajenga maisha yanaanzaje kwenda kombo
Diva@beyonce unazuga wewe.....nawajua nyie mkiingiziwa gia ya kuolewa huwa mnawehuka sana...mnakuwa wapoooleeee weeeeeeeeee
Mnafunuliwa weeee na kuchezewaaa weeeeeee
It doesnt matter wote Malaya tu me na ke sema ke ndo anapata fedwaa. Business is bussiness whether legal or illegal what matters most ni mambo ya fezwaaaa.
Hahahaaa mkuu bhana maneno yako yamenifurahishq
Wabahiri na wasionazo za kutoa maana hata wao wanaunga unga tu utawajua, kujihami kwingiiiii, wenye nazo wanatoa tuuuuuu walaaa hawatafuti excuse, hebu watupe tu kwakweli ndio njia pekee iliyo sahihi.
Diva Beyonce mpaka sasa ushatembea na vijeba vingapi?Wala sizugi kuolewa ni extra sana Mpaka tupate tulichokua tuna kitaka kwanza kwenye life sio kurukia tu maisha ya ndoa. Mpaka mtupatie tukitacho bila HVO cheating kwa sana tu. Sio kwamba tunafumuliwa we want something.
Na home unasifiwa unajua kuchuna!?
Diva Beyonce mpaka sasa ushatembea na vijeba vingapi?
Aiii ndio unasema hivyo ili tusipokeee, hujui tusipopokea jasho lenu tutakuwa tunatenda dhambi!! Kwahiyo acha tu tupokee na nyie endeleeni kutupa tu maana hamna namna.
Wengi wanao lalamika ni mabahili tu hawa wanaji defence ili wasitoe hela.
Wenzao wanatoa tu bila shida. Watoe hayo mahera kwa sana.
kwa mwanaume no way out ni kupambana tu maisha.
Kutumia kitu ulichokitolea jasho unakuwa na uhuru wa kuamua...ila kutegemea vya watu mmmh hata under wear budget unapangiwa
Na wanajua kujihami haoooo!! Mie kuna mmoja siku moja ofisini alikuwa anaponda hiyo isue nikamwambia, we una haki useme hivyo maana hata hizo za kuhonga zenyewe huna, acha animind!!
Uwiiiii wewe mwanamke nimekushindwaa
Na wanajua kujihami haoooo!! Mie kuna mmoja siku moja ofisini alikuwa anaponda hiyo isue nikamwambia, we una haki useme hivyo maana hata hizo za kuhonga zenyewe huna, acha animind!!