Huyo ni SILVIO BERLUScONi
msimpe kichwa jaman ohooo mzm huyo babu au ndo anawagawia virus
Hata mimi nilidhani ni Mzee wa Kulialia!Nilivyaona heading nikafungua hii thread kwa kasi ya ajabu nilidhani ni Mizengo Pinda, kumbe ni Italy
Huyo ni SILVIO BERLUScONi
Halafu anapenda sana MAKAHABA

mkuu B O ulaya hakuna ukimwi hasa kwa viongozi
amelaaniwa aziniye na mwanamke

Avumae baharini papa, kumbe na wengine wapo. Msimsahau Vasco da Gama wetu. Tafauti ni kuwa Ulaya viongozi wanafuatiliwa, bongo thubutu! Atokee mwandishi wa habari hapa aanike uoza kama huo kwa Vasco Da Gama!

Eeehh!!! Kidume cha mbegu wanane usiku mmoja bado babu ni mzima si unazimia kwa kizunguzungu