Najiuliza tu...!

Najiuliza tu...!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,087
Hivi ndoa ingekuwa kifuruahi (bundle) hivi ungechagua kipi ?
1:cha siku ?
2:cha wiki?
3:cha mwezi?
kuwa mkweli usiogope !!
4:cha mwaKa?
5:cha milele?
 
CHA MAISHA. NIMENDIKA KWA HERUFI KUBWA KUONYESHA MSISITIZO SIKU NIKIKUFUATA UFAHAM HILO angelita.
 
Last edited by a moderator:
Hicho kinachosha bhana cha siku ndio mpango

Sasa cha siku mama yangu, huoni kama utamaliza button za simu kila siku kununua kifurushi!? na kama ni screen touch huoni kama screen utakwaruzika kabisa!?
 
Sasa cha siku mama yangu, huoni kama utamaliza button za simu kila siku kununua kifurushi!? na kama ni screen touch huoni kama screen utakwaruzika kabisa!?

Hapo siku ingine nanunua siku ingine sinunui napumzika
 
Hawa ndio wake na waume watarajiwa, wanaotaka ndoa za siku moja.
 
Kama hamjawa tayari kuoa au kuolewa acheni kukashifu ndoa kiasi hicho...

Kweli mkuu naungana nawewe, bad enough watu siku zote watolea mfano ndoa zilizoshindwa....kuna ndoa pia nyingi nzuri zinafuraha ingawa changamoto hazikwepeki....
 
Back
Top Bottom