Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,974
Aliowatenganisha mahandsome boy na hella ndio huyo huyo aliowatenganisha mademu wene chura na akiliWakuuu, Nauliza Kwa nini wanaume mahandsome hawana Hela? Maaana niko Baar hapa meza zimechafuka wanaume wako na mapc hatariii Lakini wanaume wabayaaaaa?
Halafu mademu wasio na tako hivi wakiwa kwenye mziki Kama huuu hivi huwa wanatingisha nini? Maaana naona hapa wenzangu mie wanacheza na kutikiza takoAliowatenganisha mahandsome boy na hella ndio huyo huyo aliowatenganisha mademu wene chura na akili
Halafu mademu wasio na tako hivi wakiwa kwenye mziki Kama huuu hivi huwa wanatingisha nini? Maaana naona hapa wenzangu mie wanacheza na kutikiza tako
Tafuta wanaume wabaya, acha kuhangaika na sura NduguUmeanza kutusengenya[emoji854]..kunywa laga zako Basi unatupa kiu sisi huku ujue
Huku sirari Mdau wewe uko wapiJoyce uko bar gani?
Yawezekana tupo bar moja!
Hakuna mwanaume anayesifiwa suraaaaWakuuu, Nauliza Kwa nini wanaume mahandsome hawana Hela? Maaana niko Baar hapa meza zimechafuka wanaume wako na mapc hatariii Lakini wanaume wabayaaaaa?
Hahhahaaahhhahaahahaha......! Konyo kweli ww🤸🤸🙌🙊Tafuta wanaume wabaya, acha kuhangaika na sura Ndugu
Ndugu Yangu udikimbilie sura kama Ya Mwaka FA utakuwa unalala saa moja Kama mgonjwaUmeanza kutusengenya[emoji854]..kunywa laga zako Basi unatupa kiu sisi huku ujue
Tafuta sura Ya Kazi ule maisha Ndugu, binadam huishi Mara moja tu, achana na sura Ndugu haya maisha yana raha yakeUmeanza kutusengenya[emoji854]..kunywa laga zako Basi unatupa kiu sisi huku ujue
eTafuta sura Ya Kazi ule maisha Ndugu, binadam huishi Mara moja tu, achana na sura Ndugu haya maisha yana raha yake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umeanza kutusengenya[emoji854]..kunywa laga zako Basi unatupa kiu sisi huku ujue
Huwa tunatingisha NYONYOO...Mungu hajatunyima vyote..!Halafu mademu wasio na tako hivi wakiwa kwenye mziki Kama huuu hivi huwa wanatingisha nini? Maaana naona hapa wenzangu mie wanacheza na kutikiza tako