Msemahaki kapata Rungu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2025
- 270
- 137
Nielewe twende pamoja. Kama wewe ICC NDIO inakunyima usingizi basi si kila mtu yupo hivyo.Lazima afikishwe ICC haki itimie damu za wasio na hatia zinamlilia
Rais Samia miaka 5 anaipiga na ICC anakwenda. Kama wewe ni mwoga wa ICC, USIGOMBEE NAFASI KUBWA KAMA HIYO YA URAIS. Umenielewa!!!!